Nampenda lakini hanijali

Inawezekana lakini mimi nimeandika nilivyokuwa nikijisikia mimi!I cant speak in regard of him u know!na najua alikuwa hanipendi the whole thing was just a coincidence!
There's always other side of the story...pole though.
 
"Nadhani ukisoma ulichoquote utaelewa kwamba pesa haina thamani kwangu"kucare sio kupewa pesa bali kumjali mtu emotionally..kuwepo anapokuhitaji,kumthamini inahusika zaidi na hisia;kuzijali hisia za mwenzako!n.k
you are so nice mydia but pesa matters a lot bana, inabidi kuwa nazo ili maisha yasilete mushkeli
 

Mpende akupendae! mpende akupendae! Asiekupenda ooh achana naeee!! - Abdul Misambano (TOT)
 
"I Will Always Love You"

If I should stay
I would only be in your way
So I'll go but I know
I'll think of you every step of the way

And I... will always love you, ooh
Will always love you
You
My darling, you...
Mmm-mm

Bittersweet memories –
That is all I'm taking with me.
So good-bye.
Please don't cry:
We both know I'm not what you, you need

And I... will always love you
I... will always love you
You, ooh

[Instrumental / Sax solo]

I hope life treats you kind
And I hope you have all you've dreamed of
And I wish you joy and happiness
But above all this I wish you love

And I... will always love you
I will always love you
I will always love you
I will always love you

I will always love you
I, I will always love you.

You.
Darling, I love you.
I'll always...
I'll always love you.
Ooh
Ooh!!!!!

kwako Smile .. whitney houston katoa message kali sana kwenye huu wimbo!

jaribu kupitia mashairi haya bi dada!
 
Last edited by a moderator:
naupenda huu wimbo sana ujue...thax a lot
 
Wanawake walio wengi wanatekwa kupitia mitandao ya kijamii.

Wewe unachat tu na kupenda? Hiyo chongo. Kupenda pia unapaswa umfahamu mtu.
 

Kabla sijakushauri tena ngoja nikuulize kitu

Hivi huyu jamaa bado uko nae?
 
Tatizo la wanawake wengi, Wanataka ukimuo uwe naye tu, Na kibaya zaidi atataka sm yako umpigie yeye tu, Bila kujua kuwa una ndugu na marafiki wote wana mawasiliano na wewe.
 
Wanawake walio wengi wanatekwa kupitia mitandao ya kijamii.

Wewe unachat tu na kupenda? Hiyo chongo. Kupenda pia unapaswa umfahamu mtu.
Kila kitu kilitokea haraka mno siwezi kusema specific details zaidi ya nilizotoa!Ila uzembe unahusika kwa kiasi kikubwa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…