Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
- Thread starter
-
- #21
Tatizo co uchumi tatizo hanijali hata emotionally wachia physically,yaani haoneshi mapenzi!mwenzio akiumwa muhimu umjulie japo hali!!wewe unamuongopea mwenzio ampige chini! mwenzio kasema kamuacha ila bado anampenda so hawajaachana, utaonekana mmbeya - mpe confidence mwenzako aendelee kumpenda mwenzake coz bado anampenda, pia, I thought ungemshauri azidi kumvumilia coz she had him for over 4 years, kwa nini amshindwe sasa? Mwambia nadhani huyo shemeji yetu hana kazi, so ukiwa too demanding kwa vitu vikubwa ambavyo ni zaidi ya uwezo wake ataona kama unamcheka/unamsanifu - hasa hayo mambo ya matibau kwake una maanisha bill na anatakiwa kulipa, awe anamwambia kuwa anaumwa ila "I have gone for medical check up and dr. kasema nitapona kama nitamaliza dose", keep praying for him apate kazi, and mind you sijasikia anasema huyo shemeji anam-cheat...mshauri avumilie please ni mambo ya uchumi tu hayo[/LEFT][/RIGHT][/LEFT]
Nimeshaongea nae sana lakini habadiliki nimeshaongea na watu wake wakaribu Pia wakaongea nae lkn bado hali ni ileile.Najua miaka minne ni mingi na tunafahamiana vizuri usemavyo ni kweli Ila nafeel we r nt meant to be together ndio maana hatuendani na ndio maana hajali!na ana ile tabia ya kununa,nikimkera mimi atanuna nimbembelezee weeee lakini akinikera mimi Pia atanuna yeye na niombe msamaha mm wala hajali yaani kama nimekerekwa mimi!!
Niko kwenye mahusiano ya Takriban miaka minne na mwanaume ambae nimezaa nae mtoto mmoja.Tulikutana ktk chat tukapendana..baada ya kuonana Nikabeba ujauzito wake which is irresponsible i know coz tunaishi sehemu Tofauti.
Hanisaidii kwa huduma yoyote coz hana kazi thats fine Ila hata nikiwa nae hanisaidii hata ktk malezi ya mtoto(tupo nje ya nchi),anasema anataka kunioa na ananipenda lkn tatizo hanijali wala hajali feelings zangu akinikera,haoneshi mapenzi na mimi na Sifeel kama ananipenda coz hata nikiumwa hanijulii hali nampigia Simu mimi ananikemea Eti namuamsha usingizini na kuumwa naumwa mimi!!yaani kuna vituko vingi sana amenitendea huyu mwanaume siwezi kuvieleza vyote!!
sasa nimeamua kuachana nae Ila bado nampenda sana na namuwaza saa zote!!mnadhani nimechukua uamuzi mzuri kuachana nae au nifuate moyo wangu niendelee kuwa nae na niendelee kuumia?
kuna wanawake mna roho ngumu... au ndiyo mnaenda sambamba na ile methali inayosema kwamba 'kusikia kwa kenge mpaka atoke damu masikioni?'
Tatizo co uchumi tatizo hanijali hata emotionally wachia physically,yaani haoneshi mapenzi!mwenzio akiumwa muhimu umjulie japo hali!!
Usifanye mchezo na kupenda ndugu yangu....! Yakikukuta ndio utaelewa nini huyu dada anachomaanisha.
Bahati mbaya umejaribu kutufahamisha uhusiano wenu ukiwa katika hali mbaya, na hatufahamu mlipoanza relation ilikuwaje? (nzuri au mbaya), was the guy taking care since the first day ila akabadirika? au alikuwa na tabia hii tangu mnaanza uhusiano? ila ulichoonyesha tangu awali ni kuwa huyu jamaa hana kazi! hebu nisaidie kwa hayo
Niko kwenye mahusiano ya Takriban miaka minne na mwanaume ambae nimezaa nae mtoto mmoja.Tulikutana ktk chat tukapendana..baada ya kuonana Nikabeba ujauzito wake which is irresponsible i know coz tunaishi sehemu Tofauti.
Hanisaidii kwa huduma yoyote coz hana kazi thats fine Ila hata nikiwa nae hanisaidii hata ktk malezi ya mtoto(tupo nje ya nchi),anasema anataka kunioa na ananipenda lkn tatizo hanijali wala hajali feelings zangu akinikera,haoneshi mapenzi na mimi na Sifeel kama ananipenda coz hata nikiumwa hanijulii hali nampigia Simu mimi ananikemea Eti namuamsha usingizini na kuumwa naumwa mimi!!yaani kuna vituko vingi sana amenitendea huyu mwanaume siwezi kuvieleza vyote!!
sasa nimeamua kuachana nae Ila bado nampenda sana na namuwaza saa zote!!mnadhani nimechukua uamuzi mzuri kuachana nae au nifuate moyo wangu niendelee kuwa nae na niendelee kuumia?
Niko kwenye mahusiano ya Takriban miaka minne na mwanaume ambae nimezaa nae mtoto mmoja.Tulikutana ktk chat tukapendana..baada ya kuonana Nikabeba ujauzito wake which is irresponsible i know coz tunaishi sehemu Tofauti.
Hanisaidii kwa huduma yoyote coz hana kazi thats fine Ila hata nikiwa nae hanisaidii hata ktk malezi ya mtoto(tupo nje ya nchi),anasema anataka kunioa na ananipenda lkn tatizo hanijali wala hajali feelings zangu akinikera,haoneshi mapenzi na mimi na Sifeel kama ananipenda coz hata nikiumwa hanijulii hali nampigia Simu mimi ananikemea Eti namuamsha usingizini na kuumwa naumwa mimi!!yaani kuna vituko vingi sana amenitendea huyu mwanaume siwezi kuvieleza vyote!!
sasa nimeamua kuachana nae Ila bado nampenda sana na namuwaza saa zote!!mnadhani nimechukua uamuzi mzuri kuachana nae au nifuate moyo wangu niendelee kuwa nae na niendelee kuumia?
ushauri wangu kwako ni huu miaka 4 imetosha kukufanya umjue na ukweli ni umri wa mtu kufikia hatua ya kuamua kwa dhati. he is wasting your time piga chini mshukuru kwa kupata mtt carry on with your life atakuja mwingine tu. but kama uko nje na si mswahili uwe makini sana asije akakuua wewe na mwanao manake naskiga ndo revenge zao