Wakati nasoma nilikuwa na mpenzi ambaye tulipendana sana baada ya kumaliza shule tulipoteana nilipata kazi na yeye aliendelea masomo na sasa tumekutana chuoni anadai bado ananipenda ingawaje tayar nina mke ispokuwa hata mimi nampenda sana nifanyeje.

hahahahaah ni milioni 44!!!tupo milioni 43
Wakati nasoma nilikuwa na mpenzi ambaye tulipendana sana baada ya kumaliza shule tulipoteana nilipata kazi na yeye aliendelea masomo na sasa tumekutana chuoni anadai bado ananipenda ingawaje tayar nina mke ispokuwa hata mimi nampenda sana nifanyeje.
Mkule.......
endelea kumpenda tu.Wakati nasoma nilikuwa na mpenzi ambaye tulipendana sana baada ya kumaliza shule tulipoteana nilipata kazi na yeye aliendelea masomo na sasa tumekutana chuoni anadai bado ananipenda ingawaje tayar nina mke ispokuwa hata mimi nampenda sana nifanyeje.
Hata yeye anao ma Ex wake tena usijekuta wako vizuri kwa kila kitu sema tu aliamua kutulia na wewe jitafakari upya maana na yeye akiamua kufanya hivyo unaweza kutamani dunia iisheWakati nasoma nilikuwa na mpenzi ambaye tulipendana sana baada ya kumaliza shule tulipoteana nilipata kazi na yeye aliendelea masomo na sasa tumekutana chuoni anadai bado ananipenda ingawaje tayar nina mke ispokuwa hata mimi nampenda sana nifanyeje.
kwi kwi kwi kwiiii
Nilikua arachuga last weekNimekukosa sana ujue........
Nilikua arachuga last week
We acha tu, tunaishi kama magari ya mkaaKimya kimya hivyo jamani jamani.........