Nampenda ila nimechoka kung'atwa nifanyeje?!

Duniani pamejaa vituko. Na kwanini usijiengeze maarifa anapoanza kupandisha "munkari" mlishe nguo zake au chuka mliotaka kujifunika.... Kutafuta raha kwenyu kumegeuka kua karaha....
 
Hiyo pisi yako itakuwa vampire tena wale dracula, valisha helmet huyo...

Wewe endelea kumpa mitano tena, siku akunyofoe mjegeje
 
Sasa hapo chagua.

Umng'ate na yeye ama usimfikishe kileleni.
 
Ipo siku atang'ata kibao chako atoke na nyama akateme huko nje, achana naye huyo anapepo mchafu KABLA ya kukutoa uume wako
 
Itabidi uache kumfikisha kileleni ili asiwe anakutafuna!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…