Nampenda ila kila nikichat nae kwa sms ananiita "bro"

vunja ukimya.................

" tangazo hili limeletwa kwenu kwa hisani ya watu wa mtogole"
 
kweli kazi ipoooo...na hii inaashiria by 2025 lazma wanaume woote mtakuwa mnatongozwa na kuolewa..

ndo maana cameruni david wa uingereza akataka awahi mapemaaa apewe coloni wawe wanakuja kujichukulia "wanawake" wenye-jinsia ya kiume.

bak 2 the topic....dogo umewekewa fence ya gazeti unachanganyikiwa je ungekuwa ukuta wa berlin si-ungelia weye...navyokuona wewe ungekuwa "muarabu" usingekula au hata kuoa binamu yako aka mtoto wa ankali ... yani forward butuuuu mpaka unatia kinyaaa....

wewe kuitwa kaka unajibaraguuuza na kushindwa ufanyeje..je ungekutana na "shkamoo baba mdogo" si ndio ungeangua kilio kama umefiliwa.

Pia naona hujawahi kukutana naye live zaidi ya kuiba namba yake sehemu na kuanza kutuma sms za "kitoto" wakati unahitaji mambo ya "kiutu uzima"...age difference is nothing at oll..just wake up you old fella.

Next tyme sms zako ziwe na maneno yenye ladha ya kima-habat kama honey, luv, swirrry, dear, mpenzi, wa-ubani, na kadha-wa kadhalika... pia jifunze mistari yenye swagga zake na uwe mwepesi wa kutoa..

ANAENDA CHUO HUYO akishafika chuo huna chako.

Kweli 'Who cares'???...lol!
 
Kuna dada mmoja nampenda kiukweli na nimemzidi miaka 6,kwa sasa yeye ndo anaenda chuo....bado sijamwambia na ninachat nae(kwa sms) kwa ukaribu sana...ila kila sms yake ananiita "bro"..............NAPATA SHIDA SANA,NITAKWEPAJE HAPO ILI NIMPATE KAMA GALFRIEND????????

afu we inaelekea domo zege mpaka leo hii hujarusha ndoano
 
unalalamika kuitwa bro?
mbona wanawake wengi ndio swaga zao kama hawana interest...
na kama ivyo ulivyomzidi umri, ingekuwa mimi ningekupa shikamoo (yaani hii mbinu inawamalizaga kabisa wanaume)
kuna mmoja aliuliza, baada ya kupewa shikamoo "unataka kuninyima nini"? nilichoka lol! kuna wanaume hawakubali kushindwa. iga mfano
 
ukizidi kuchelewa tunamega watu wasiokua na haya.tena anakuja pande za makontena mapya.aise sema nae utajuta!
 
kuna dada mmoja nampenda kiukweli na nimemzidi miaka 6,kwa sasa yeye ndo anaenda chuo....bado sijamwambia na ninachat nae(kwa sms) kwa ukaribu sana...ila kila sms yake ananiita "bro"..............napata shida sana,nitakwepaje hapo ili nimpate kama galfriend????????
sasa wwe unataka akuite nani,mchumba,mume au nani? Kama ni mchumba hujapeleka posa kwa wazazi,kama ni mume hujafunga naye ndoa,hata hiyo bro naona anakupendelea tu maana hujazaliwa naye na angeweza hata kukuita tu kijana au kwa jina lako ulilonyweshewa uji. Acha kulalamika kudai haki usiyostahili
 
Kwisha habari yake, na hivi wadada wanapenda kuitwa majina mazuri mazuri

anza na my lovely sister...
halafu unakuja na my lovely friend
mwisho unakuja na my sweety
halafu unamalizia na my sexy n lovely girl...
taraatibu ataelewa
 
Kazi kwako kukubali uendelee kuitwa kaka ama ufanye jitihada ili hilo jina libadilike..
Wakuu wameshakufumbua macho..Amkaaaaa!!!
 
nawashukuru kwa wote mliochangia kwa nia njema kama mimi nilivowasilisha hapa kwa nia njema na safi kabisa.......NINA KWENDA KUCHANGANYA NA ZA KWANGU,USHINDI LAZIMA
NITARUDI KUTOA MAJIBU
 
anza na my lovely sister...
halafu unakuja na my lovely friend
mwisho unakuja na my sweety
halafu unamalizia na my sexy n lovely girl...
taraatibu ataelewa
I'm seconding this idea...huyo bidada anakazana kukuita "bro" ili aone wewe unareact vipi coz kikawaida wanawake wengi huwa comfortable kidume ukianzisha game...so teremsha terms hizo hapo kama ulivyoambiwa na the boss

alafu usisahau kumuuliza vitu muhimu kama "ameamkaje", kama "amekula" na muhimu zaidi "g9t" huku ukimalizia na "luv u" (get me ryt sio "I LOVE U" nimesema unaanza kwa kumwambia "luv u") nakwambia hivyo coz "luv u" inamwamsha hisia zake ila anakuwa kama hana uhakika hivi to begin with. "I love u" ni nzuri ila kwa mwanzo mwanzo inaweza kumshtua kwa kumkera (kumbuka unajaribu kumvutavuta)
ANGALIZO: sio sasa ndio kiiila siku kiiiila wakati mimeseji tu, ataona hauna shughuli za kufanya...trust me, moja ya vitu vinavyovutia sana wanawake ni wanaume wenye kaelement ka ubize...so siku mbili tatu unamtafuta siku ya nne unatulia, siku ya sita unashtua tena..if she is interested utaona tu...
 
Hahahaa.... Umeona eeh?? Af sijui kakimbilia wapi wakati movie haijaisha...
ha haaaa kama nilivyosema wakati nareply kwenye thread....lazima akuoneshe kwamba ana shughuli za kufanya...unachek sasa ulivyoanza kuhangaika kumtafuta....lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom