Nampenda ila kila nikichat nae kwa sms ananiita "bro"

huyu jamaa nadhani hamjamuelewa, anataka tumfundishe KUTONGOZA, khaaaaaa!!! inshort ni domo zito km mercury, haya mtambuzi na mzizi mkavu mtengenezeeni desa alimeze, . how comes umependa mtu kwa dhati halafu unagwaya kumwambia, wewe mtaftie pozi umemwambie kinacokusibu, yani just jifunge bomu ujilipue alaaaa... tena hako kamchezo ka sms katakuumbua mana kwa kitete baada ya kumwandikia GOOD MORNING, unaweza kumwambia SHIKAMOO!!!Haaaaahahaaaaaaaa...mueleze kwepe physically baba, kohoa mkuuuuuuuuu unaogopa nini? shauri yako kuna siku atakuita DADY nadhan hapo ndo kichwa kitakupasuka
 
kwa hiyo tatizo lako ni kuitwa bro?anyway unataka akuite nani,coz jina linaendana na hali iliyopo,sasa sijui unataka akuite van damme ndo ujikute mkali.
 
Mbona kazi ndogo sana hiyo! Tena vijana wa siku hizo mna bahati kuna simu ambazo zinafanya mawasiliano yanakuwa rahisi hata kama ni 'domo zege'.
 
Kuna dada mmoja nampenda kiukweli na nimemzidi miaka 6,kwa sasa yeye ndo anaenda chuo....bado sijamwambia na ninachat nae(kwa sms) kwa ukaribu sana...ila kila sms yake ananiita "bro"..............NAPATA SHIDA SANA,NITAKWEPAJE HAPO ILI NIMPATE KAMA GALFRIEND????????

usione soo, sema nae. vunja ukimya zungumza na mwenzio!
 
kutokana na mazoea uliyonayo kwake anakuona kama bro wake sasa wewe kama unataka iwe tofauti sema naye mweleze anaweza badilisha kama naye yupo tayari kwa hilo
 
Kuna dada mmoja nampenda kiukweli na nimemzidi miaka 6,kwa sasa yeye ndo anaenda chuo....bado sijamwambia na ninachat nae(kwa sms) kwa ukaribu sana...ila kila sms yake ananiita "bro"..............NAPATA SHIDA SANA,NITAKWEPAJE HAPO ILI NIMPATE KAMA GALFRIEND????????

no way out m2 wangu ust talk to her na umpe ukweli wa moyono mana hata uukimuta majina gani kama hujasema n bure na anawza akajua unachohitaji au unavyojiskia juu yake akaamua kunyamaza coz hujasema kitu ataendelea kukukaushia. VUNJA UKIMYA
 
kweli kazi ipoooo...na hii inaashiria by 2025 lazma wanaume woote mtakuwa mnatongozwa na kuolewa..

ndo maana cameruni david wa uingereza akataka awahi mapemaaa apewe coloni wawe wanakuja kujichukulia "wanawake" wenye-jinsia ya kiume.

bak 2 the topic....dogo umewekewa fence ya gazeti unachanganyikiwa je ungekuwa ukuta wa berlin si-ungelia weye...navyokuona wewe ungekuwa "muarabu" usingekula au hata kuoa binamu yako aka mtoto wa ankali ... yani forward butuuuu mpaka unatia kinyaaa....

wewe kuitwa kaka unajibaraguuuza na kushindwa ufanyeje..je ungekutana na "shkamoo baba mdogo" si ndio ungeangua kilio kama umefiliwa.

Pia naona hujawahi kukutana naye live zaidi ya kuiba namba yake sehemu na kuanza kutuma sms za "kitoto" wakati unahitaji mambo ya "kiutu uzima"...age difference is nothing at oll..just wake up you old fella.

Next tyme sms zako ziwe na maneno yenye ladha ya kima-habat kama honey, luv, swirrry, dear, mpenzi, wa-ubani, na kadha-wa kadhalika... pia jifunze mistari yenye swagga zake na uwe mwepesi wa kutoa..

ANAENDA CHUO HUYO akishafika chuo huna chako.
 
Aiseee...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom