jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
Huwezi jua mungu ana mipango gani na wewe ila kua mvumilivu katika hilo kwani jambo zuri halihuitaji haraka!!!!!Kuna Dada nampenda ,nimemwambia seriously hanielewi,hanitaki na haonyeshi kuelekea!! Amekua anadate na vijivulana visharobaro vimekua vikimchezea na kumuacha anaumia,Ila bado nikimfuata mi Niko real hanitaki!
Na kiukweli niko serious nataka nimfanye my future wife!!Ila bado bila bila.
Ivi nyie wanawake MNA nini??
Sometimes nawaza sijui nimuendee kwa mganga !! Maana nampenda had nahisi naweza kua chizi akiendelea kunizngua!! Yaan dunia naona kila kitu kibaya!!
Msaada tafadhar kama kuna kitu naweza Fanya maana naweza lipuka!!
Au tushare experience
Si unajua kuishi maisha ambayo syo yako n kaz!! Ila angalau ningejua kua ndio hicho kigezo ambacho kinafanya asinipendeKama anapenda visharobaro nawe kuwa sharobaro.Kwani kuna ugumu gani kuwa sharobaro au Mzee huwezi kulamba lips?
We utakuwa mwanaume wa mkoani
Hata angekua na Mimi kwa kujilazimisha ningeridhika!!Pole sana mapenzi hayalazimishwi !
Peleke Fesibuku au Instagram hii mada,huko utapata msaada kutoka kwa watoto wenzako,acha kuishushia hadhi JFKuna Dada nampenda ,nimemwambia seriously hanielewi,hanitaki na haonyeshi kuelekea!! Amekua anadate na vijivulana visharobaro vimekua vikimchezea na kumuacha anaumia,Ila bado nikimfuata mi Niko real hanitaki!
Na kiukweli niko serious nataka nimfanye my future wife!!Ila bado bila bila.
Ivi nyie wanawake MNA nini??
Sometimes nawaza sijui nimuendee kwa mganga !! Maana nampenda had nahisi naweza kua chizi akiendelea kunizngua!! Yaan dunia naona kila kitu kibaya!!
Msaada tafadhar kama kuna kitu naweza Fanya maana naweza lipuka!!
Au tushare experience
Tafuta mwanamke atakaye kuelewa huyo hata akikukubalia ata kutesa sana.Kuna Dada nampenda ,nimemwambia seriously hanielewi,hanitaki na haonyeshi kuelekea!! Amekua anadate na vijivulana visharobaro vimekua vikimchezea na kumuacha anaumia,Ila bado nikimfuata mi Niko real hanitaki!