Nampenda Ila ananipiga

ryana fan

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
2,632
Reaction score
3,063
Habari za asubuhi wakuu.

Hi imenisikitisha Sana. Nisiongee mengi.

" Mchumba wangu ananipiga mara kwa mara,Lakini bado nampenda,Na tuko mbioni kufunga ndoa,nifanyeje?"
 
It is better to have a failed engagement..... than be taken back to your parents in a coffin.

Have you no pride? Don't you value yourself? Do you know what your parents went through from the time you were born until you attained adulthood ?

Acha uboya wewe.
 
Hapo ni Mchumba uko hivyo ukiwa Mke itakuwa balaa, maamuzi unayo mwenyewe uamue kusuka au kunyoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…