Nampenda ila ananiogopa

Nampenda ila ananiogopa

nicholous mella

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
312
Reaction score
162
Niaje,

Humu labda niendee moja kwa moja kwenye mada, na hivi kuna msichana flani nilitokea kumpenda na nikaamua kumtokea, kwa bahati mbaya au nzuri alinikataa, na kwakuwa nilikuwa bize sana nikajikuta nampotezea bila kumfuata Mara ya 2, cha ajabu ameanza kuwaambia washikajii zangu mtaani eti namuogopa! Kiukweli simuelewi anamaanisha nini kunitangazia hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh. Hata kama ni utoto huu umezidi.

Hivyo kuambiwa unamuogopa tu umeshindwa hata kulala au kujitetea huko huko mpaka uje huku tukupe cha kwenda kusema.

Kama hakuna kinachopungua mwilini achana nao fanya mambo ya msingi.
 
Ukiwa unajaribu kuwasilisha Mawazo Yako Embu tuliza Akili sidhan Kama ulichokiandika umekisoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom