Duh,mdahalo mzito,yetu macho.
Mapenzi hayaangalii Elimu,ila kwa yule mdada lazima kidogo shule iwepo ili uweze kujua majukum yake na pia kumsaidia.
Ila jamani mie nitatoa zawadi ya Bajaji kama mtu akinitumia Picha ya Halima mdee akiwa mjamzito.Sipati picha
Halafu mi naona kama ukimfuata lazima akuombe CV yako ya maisha mpaka ulipofikia,mtoto wa mjini yule.
Ukishindwa Nenda Bungeni pale kuna Mbunge Professor Maji marefu huyu ni mtaalam wa mambo yetu yale,sasa itakuwa rahisi kukupigia mwiba mpaka ukampata,maana kama ni kumwagia dawa mlango yeye yupo mlemle.
Jamani mie pia nitajinyonga kwa Jenista Mhagama,maana shepu ile na sie wamanyema mmmmhhh haya nakula kwa macho.Sauti yake ile oohhh mashallaah kaa mtoto anadeka.
Jasmine Kairuki ndio balaa pia,figure tata,Sauti fulanii hiv ya pozz kama kthe cha kiaina utampenda akionge ila sikulazimishi
Jamani TCRA haya ni mawazo yetu tu humu msije mkatuwekea mitego mkatuweka Jela
Maana unaweza kukuta wewe unaempenda Halima Mdee anakupigia sim,aisee mie nipo tu sasa inakuwaje,mara unajipeleka,jela hiyoo.
Ila mie kwa Jenista ikipigwa sim naenda,maana najua watu kama wale huwa wanahuruma,ipo siku ataniombea nitoke jela.
Mtambo mwingine Jasmine Kairuki nibalaa,yaani mungu kaumba,mie napenda figure yake na akiwa anaongea utampenda.
Zaidi utasikia kila mmoja kaolewa na msomi,hapo ndio nachoka sasa
Halafu ADMIN anatuchora tu hapa akiona tunazidi mara ubao unasoma Topic closed.
Nawasilisha