General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,317
- 23,192
Nilikua natafuta wa kumtupia lawama
Kumbe kweli sikupata F ,kwa iyo nipo sahihi kiwango cha lami za jiwe za pale ubungo au sio mkuu
Mkuu ukitaka kumpata mwambie unamuhitaji ili mnyakue tunzo ya best couple ya JF awards 2018 ambayo imekuwa proposed na Mshana Jr, walahi lazima ule mzigo!Wanajukwaa nimetokea kumpenda demi nikimfuata inbox yupo locked ,roho yangu imemfia nataka aizike,mwili wake ndio kaburi la roho yangu,nisaidieni nimpate
Usiseme ivyo bibiye...naomba kampani keshokutwa naenda kwetu (yalikozaliwa yatesayo)just likizo fupi😂😂😂😂Hahahhaha ili unikimbie na sura ya baba angu
Alaf mkuu tunachat kweny uzi wa watu,,jamaa ataanza kuona aibu akijua tupo aroundD inamaanisha umepatia kidogo mkuu,
Afu mi sijawahi mpa mtu F,
Hata kama kweli umepata Zero,
Usiseme ivyo bibiye...naomba kampani keshokutwa naenda kwetu (yalikozaliwa yatesayo)just likizo fupi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oh!! Ahsante sanaSafari njema kaka
Teh Mimi dume la mbeguduh, unampendaje mtu hujamuona, kama demi ni ME je? izi nye+ge za rejareja ni mbaya mno
Acha uzushiBro demi ndo ndoto yangu naona kani pm mida si mirefu,namshukuru mno ndo maana nimepotea nipo pm
Ha haa acha hizo bana, walio serious hawaanzishi uzi kuelezea hisia zaoNajaribuNajaribu kutoa nyongo usinishushie heshma mbele ya shemeji zangu jukwaani
Pm wapi? Utakuwa umenifananishaNat
Angaza mama shida pm umejibu swali moja tu ukapotea ndo maana nasaula hapa
Kama umenipata pm kwanini uniambie hivi mbele za watu?Ntakucheki saa 2 sweet
Hahahahaha jamaa mzushi kama Musiba😂Acha uzushi
Teh labda wana unduguHahahahaha jamaa mzushi kama Musiba[emoji23]