Kupanga ni kuchagua[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Aaaah mi bado sijaoa ....
Hata kademu sijawah kupata ...
Nyie wadada badilisheni avatar zenu tuepuke hizi thread za kila siku!!
Mngeweka sura zenu nafikiri kusingekuwa na uzi kama hizi!!!
Kwan umeitwa kuja kuzurura umu au kutongozwa?Sakayo upo? Ulipotea
Mistari haina mavibeKwan umeitwa kuja kuzurura umu au kutongozwa?
Tulia jamaa akupige mistari
Kwamba sura zao ni za baba zao mkuu?Nyie wadada badilisheni avatar zenu tuepuke hizi thread za kila siku!!
Mngeweka sura zenu nafikiri kusingekuwa na uzi kama hizi!!!
Mwambie mesej nzur na mitongozo mizur ni ile mesej yeny mchanganyiko wa namba na herufiMistari haina mavibe
Teh atapata ujumbeMwambie mesej nzur na mitongozo mizur ni ile mesej yeny mchanganyiko wa namba na herufi
Sina maana hiyoo!!Kwamba sura zao ni za baba zao mkuu?
Sio mimi ila nimefany kiswahil ulichoandika kiwe chepesi kwa wasiojua kiswahil vizur
Mimi mpaka leo nasubiri ugeuke!!!Usiniambie mangi unataka nigeuke na wakati nimejiweka mwenyewe jamani
Basi fupisha ulichoandika tena kwa maneno mepesi mepesi ili nijue ile F ya kiswahili nilipata kihalaliSina maana hiyoo!!
Mimi mpaka leo nasubiri ugeuke!!!
Hahahhaha ili unikimbie na sura ya baba angu
Basi fupisha ulichoandika tena kwa maneno mepesi mepesi ili nijue ile F ya kiswahili nilipata kihalali
Hahahhaha ili unikimbie na sura ya baba angu
Nilikua natafuta wa kumtupia lawamaMkuu tufanye ulipata D
We geuka usiogopee!