Nampa pole, utawala wake unakaribia kuanguka

Nampa pole, utawala wake unakaribia kuanguka

5
Screenshot_20251123-183833_Instagram Lite.jpg
 
Binafsi nakupongeza sana kwa kutengeneza wapinzani milioni 60

Hii inaonesha ni jinsi unavyokaribia kusambaratika kabisa

Wenzako walikua na akili, walihakikisha wanakua na wapinzani wa chama cha siasa tu, lakini wewe kwa ulivyokubuhu na usivyosikia vya junguni wala pangoni sahizi unao watu milioni 60 wanaokupinga

Huna raha mwenyewe huna amani, hadi nuru imetoweka, Unaishi kwa hofu kama Digidigi ukimuogopa kila mtu, wanaokuzunguka wanashangaa ulivyobadilika hadi unachokula na unachokunywa.

Ulidhani ulivyozihukumu roho zaidi ya elfu 13 utabaki salama na utakua na amani?Pole yako umeingia cha kike safari hii unavyopenda safari sijui utasafiri uwende wapi maana kila pahala mlango umefungwa labda uzunguke hapahapa kama "Ndera"

Kishakuramba huna nuru, huna jipya, umebaki kutoa milio tu, bomu uloliandaa linakaribia kukulipukia mwenyewe utakua mgeni wa nani mwanetu?

Kwasasa hata machaguo ya kubadilisha hali huna,nani atayasadiki machaguo yako?La hasha unaishi kama Digidigi kuliko hata hao wanaokukosoa ulowasukumia magerezani na kwenye mahabusu haya si ulipata karibia 100 wewe mbona huna raha?Mbona unaishi kama digidigi?.

Wala msihofu wanetu huyu jambo lake limeisha, amekwisha hana nyimbo, Utawala wa mfa maji huu, kuna mwingine katokezea humo anajidai kuwakaanga mbuyu cnn, dw, bbc, na aljazeera kwamba vyombo hivo vyote vilikosea?Kwamba vyote vinawasingizia?Kila mtu akunyooshee kidole tu?

Mwacheni azame mwenyewe musikubali kile kilemba cha ukoka kiitwacho "Maridhiano" mtakua mmesaidia kuchelewa kuzama majini mfamaji huyu.

Pole sana wakwetu, Ukwezi mazoea humuangusha mkwezi, utavuna ulichopanda kipenga cha kuhesabu saa na dakika za anguko lako (Countdowns) kimeanza rasmi
تمام

View attachment 3506322
IMG-20251112-WA0000.jpg
Screenshot_20251107-170519.jpg
 
Yani huyu mama kwisha habaribyake .watanzania asilimia 97.6 wote. Hawamtaki huyu mjaa laana atupishe atuachie nchi yetu kinganga huyu tokka bwana hatukutaki
 
Yani huyu mama kwisha habaribyake .watanzania asilimia 97.6 wote. Hawamtaki huyu mjaa laana atupishe atuachie nchi yetu kinganga huyu tokka bwana hatukutaki
Tuzidi kuomba kila siku kwa Mungu ampe pigo takatifu huyu muuaji na chama chake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom