MpendwaWapenzi naomba mwenye muda wa kunielekeza namna ya kuweka video kutoka YouTube anielekeze pleez......asanteni sana
Mpendwa
- Kuna nyenzo ya kukusaidia kuweka video hapa. Fuata Icon zilizo kwenye huo mstari wenye maneno ya B I U hapo juu. Mbele ya Icon ya bahasha kuna icon ya picha hiyo unatumia kuweka Image . baada ya hapo kuna Icon ya Video iko kama Negative photo.uki click hiyo itakuletea window kwenye window utaweka link ya video yako.. Umemaliza kazi
Au nyia nyingine ni:
[video ]weka link ya yu tube hapakatikati ya hizi tags za video[ /video]
eg [video ]http://www.youtube.com/........... [ /video]
Amen
Mwanakondooasante mpendwa......ubarikiwe sana
Swali lako tata zikikataa unapata ujumbe gani? Lakini ili uone video kama za you tube adoble flash player ni requirement. Otherwise soma ujumbe unaoupata utakusaisa kutatua tatizo.jamani mimi vido hizo huwa nashindwa kuzifungua zinakuwa zinakatata how can i make those video work continuously
jamani mimi vido hizo huwa nashindwa kuzifungua zinakuwa zinakatata how can i make those video work continuously