NAMNA YA KUUNGA TV KWENYE INTERNET

NAMNA YA KUUNGA TV KWENYE INTERNET

macgirlzlover

Member
Joined
Apr 25, 2016
Posts
8
Reaction score
3
Habari Wakuu

Nina TV aina ya Sony Bravia natamani sana kuiunganisha kwenye internet ili niweze kupakua apps lakini nimeshindwa.

Nikienda kwenye settings sioni option ya internet

Msaada Tafadhali kwa anayefahamu
 
Back
Top Bottom