Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 5,068 Reaction score 9,714 Apr 20, 2025 #101 Sim Card said: Kuhama eneo ulilozaliwa haikufanyi kuwa tajiri boss. Tena inawezekana ndiyo fursa ya kuwa tajiri kwasababu unajuwa mazingira yako vizuri. Click to expand... Nadhani alimaanisha evil eyes (kijicho/husda)
Sim Card said: Kuhama eneo ulilozaliwa haikufanyi kuwa tajiri boss. Tena inawezekana ndiyo fursa ya kuwa tajiri kwasababu unajuwa mazingira yako vizuri. Click to expand... Nadhani alimaanisha evil eyes (kijicho/husda)
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,345 Reaction score 37,791 Apr 20, 2025 #102 NAWATAFUNA said: Badala ya kulalamika huna ajira uja smart phone yako ya laki 5 kisha nunua ya laki au kiswaswadu. pesa inayobaki anzisha biashara ndogo. Click to expand... Jobless kapata wapi simu ya laki 5?
NAWATAFUNA said: Badala ya kulalamika huna ajira uja smart phone yako ya laki 5 kisha nunua ya laki au kiswaswadu. pesa inayobaki anzisha biashara ndogo. Click to expand... Jobless kapata wapi simu ya laki 5?