[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Ukitimiza miaka 25 hama eneo ulilozaliwa"
Kwàhiyo kama nimezaliwa Dar nikifikisha miaka 25 natakiwa nihame ili niuage umaskini?
It sounds funny ... but I'm kin to observe it along the discussionAfricans likes poverty, in order to prove it. just wait for their comments.
kwa watakaoelewa nilichoandika
watabadirisha walichotakata kuandika baada ya kusoma hiyo sentence hapo juu
Aaaaaaah ulevi huu wa sex mgumu Sana - japo inabidi tujikaneNikajua unawaambia wabadili hilo neno la upunguze ulevi wa sex..! Anyway tuachane na hilo..
Binafsi tujibidiishe kutafuta maarifa maana naamini mtu akiwa maskini kichwani Basi atakuwa maskini mpk huku kwenye real life labda itokee bahati ya mkenge tu..
Asante mkuubiashara
bidii ya kazi
nidhamu ya hela
Ushauri huu ukifuatwa unaweza badirisha kabisa maisha ya mtuBadala ya kulalamika huna ajira uja smart phone yako ya laki 5 kisha nunua ya laki au kiswaswadu. Pesa inayobaki anzisha biashara ndogo.
Kabisaaaaa, nenda Geita migodini"Ukitimiza miaka 25 hama eneo ulilozaliwa"
Kwàhiyo kama nimezaliwa Dar nikifikisha miaka 25 natakiwa nihame ili niuage umaskini?
au ndugu kukugeuza chuma ulete au mlipa fadhilaNakubaliana na wewe jambo Moja hapo kutafutia mafanikio nyumbani ukianza kunyanyuka kidogo kuna changamoto zake hasa ndugu na jamaa kujiona na wao ni wamiliki wa biashara yako au kazi mwisho wa siku usipokuwa makini juhudi zako zitakwama
Ukiweka mifano, point itanoga mkuuTatizo pia sisi Waafrika hatuna maradi ambayo ni endelevu, miradi ambayo hata ww muanzilishi usipokuepo inaweza kuendelea tu.
Pepo uvivu tunakukemea kabisa.Uvivu ni adui mkubwa sana WA umasikini, yaani ninaposema uvivu huu mpaka kwa waajiliwa WA selikali na mashirika binafsi,watanzania wengi tunataka pesa kwa njia rahisi l
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app