namna ya kutumia simu yako kama modem

namna ya kutumia simu yako kama modem

si ununue modem mkuu upate internet ya uhakika kuliko kujipa tabu!

Unajua hali yenyewe ilivyo sasa unadhani bila opportunity cost mambo yataenda kweli?
 
Nani kakuambia ---- kutumia simu ni kujipa tabu? Kama haujui simu kama hii inatoa 3g internet tena unaweza kuconnect device hata tano wakati mmoja. Ni vizuri kujifunza mbinu mbalimbali ili kuweza kuwa na machaguo mengi.

Ni ushamba wa kujijazia mavitu kibao ndani umemjaa bila kufikiria hiyo hela inaezafanyia mambo mengine
 
NMdugu nunua modem tsh 30 elf tu inakushindaje internet kwa simu kama modem ni kichina speed yake ni zaidi ya mwendo wa kobe utashindwa hata kufungua JF

Wewe nawe kwani modem unaezatumia ati once kwa computer zaidi ya moja? Ila kwa kutumia sim inawezekana kwahiyo si jambo la kupuuza kama ufikiriavyo
 
nilitaka ni save money mkuu

ila sasa kwa mwendo huo betri ndio itawahi kufa maana kama itakuwa kila siku yenyewe ndio modem basi life span ya ya betri yako itakuwa very short na hapo kupata betri zuri kama lilikokuja na simu inakuwa ni mtihani kidogo.
my take; nunua hiyo modem kwa elfu 30 tena kama vp tafuta universal ambayo utakuwa unahama kwa kadiri upepo wa network na salio linavyoruhusu kuliko hiyo ya kila siku simu inakuwa ndio modem.
 
Back
Top Bottom