namna ya kutumia simu yako kama modem

namna ya kutumia simu yako kama modem

Mr.creative

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
492
Reaction score
117
Hello Jf
naomba anayefahamu jinsi ya kutumia simu iwe kama modem anijuze mimi na members wengine.
Nawasilisha
 
Nenda ktk setting chagua hotspot tethering weka on, kisha washa wireless ya laptop yako kisha utaiona hiyo tecno yako uta connect. kama hauna wireless kanunue device au tumia usb au blue tooth.
mi pc yangu haina bluetooth..... ila ni wireless... nielekeze vema mkuu...hyo settings ipi?
 
Ni rahisi saaana mkuu,just connect hiyo Tecno N3 na computer yako. kwa kutumia USB cable ,nenda settings...chagua wireless &networks...chagua Tethering &portable hotspot ...Maliza kwa kuchagua USB tethering...Endelea kutakata na internet connection uzuuri kabisa!
 
si ununue modem mkuu upate internet ya uhakika kuliko kujipa tabu!

Nani kakuambia ---- kutumia simu ni kujipa tabu? Kama haujui simu kama hii inatoa 3g internet tena unaweza kuconnect device hata tano wakati mmoja. Ni vizuri kujifunza mbinu mbalimbali ili kuweza kuwa na machaguo mengi.
 
Mie cm yangu ni tecno n3 ninatumia kama mordem. Katik cm yangu huwa kuna kitu kinaitwa hotsport mda wote ipo off. Ila ninapotaka kutumia kama mordem huiwek on ina conect kama wireless. Cm huwa pemben. Mie hufanya hivyo na ubamba poa
 
si ununue modem mkuu upate internet ya uhakika kuliko kujipa tabu!
kwan kajipa wapi taabu??? kama anayo na anataka kujua jinsi ya kutumia simu kama modem??
 
NMdugu nunua modem tsh 30 elf tu inakushindaje internet kwa simu kama modem ni kichina speed yake ni zaidi ya mwendo wa kobe utashindwa hata kufungua JF
 
Nunua connectivity cable, halafu download Nokia suite.
 
Back
Top Bottom