furaha mbuba
Member
- Jul 22, 2015
- 31
- 3
Wadau naombeni kujulishwa namna ya kutengeneza link ya wasapu kwa anaejua tafadhali
nadhan hata whatsap ya kawaida baada ya update waliweka hii ki2download na install app inaitwa GB whatsapp, haipatikani play store isearch google. tengeneza group lako...fungua group info chagua add participants, afu chagua invite to group via link...link yako itatengenzwa automatic na utaiona...kuna option za kushare hyo link au kucopy. ni hvo tu boss