financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,218
- 43,618
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,kweli itabidi nije kuchukua course kwako ,safi sana badala ya kumwita Fundi unamaliza Kazi mwenyewe, nimekupenda bureeHahahahaha itabidi nikufundishe.
Na kufungua na kubadilisha vitasa vya mlangoni pia. Na kukaza nut za kitanda.
Ili mafndi wasipate nafasi ya kuja kukurubun ndani kwako.
Fundi office zinapatikana wapi[emoji23]Karibu mkuu . ukikwama usisite kunijulisha.
Wazo la mwaka hili[emoji119][emoji119][emoji3] [emoji3] [emoji3] ,kweli itabidi nije kuchukua course kwako ,safi sana badala ya kumwita Fundi unamaliza Kazi mwenyewe, nimekupenda buree
Dah you so hot!.. Haya mambo bibi Shunie hayawezi yeye hata kutoa taa iloungua mpaka fundi!..Ngoja Mimi nikusaidie..
Washa TV yako na kingamuzi .. Kama ni cha nje..
Chomeka waya wa dishi sijui ndiyo cable..
Toka na dishi lako nje.. Au batini wengi hupendelea .. Hakikisha kuna mtu yupo ndani anakusomea signal.
Kazi yako itakuwa kutafuta signal nzuri (strong) na frequency..
Baada ya kusoma above 85% itakuwa ipo vizuri . funga dishi lako hapo hapo.
Shuka huko batini rudi ndani anza kusearch channel zako.
Signal unasomea pale kwenye search...
Furahia ulimwengu wa kidigitali.
Sifungi madishi kwa makachero lakini. Mpaka wawe wameoaNimekuviziaga sana hatimae umenasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa mjini kati karibu na manispaaaFundi office zinapatikana wapi[emoji23]
Mfundishe mkuu.Dah you so hot!.. Haya mambo bibi Shunie hayawezi yeye hata kutoa taa iloungua mpaka fundi!..
Asante sana FS.[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,kweli itabidi nije kuchukua course kwako ,safi sana badala ya kumwita Fundi unamaliza Kazi mwenyewe, nimekupenda buree
Kweli jf ni mambo yote kila kitu unapataNgoja Mimi nikusaidie..
Washa TV yako na kingamuzi .. Kama ni cha nje..
Chomeka waya wa dishi sijui ndiyo cable..
Toka na dishi lako nje.. Au batini wengi hupendelea .. Hakikisha kuna mtu yupo ndani anakusomea signal.
Kazi yako itakuwa kutafuta signal nzuri (strong) na frequency..
Baada ya kusoma above 85% itakuwa ipo vizuri . funga dishi lako hapo hapo.
Shuka huko batini rudi ndani anza kusearch channel zako.
Signal unasomea pale kwenye search...
Furahia ulimwengu wa kidigitali.
[emoji3] [emoji3]Dah you so hot!.. Haya mambo bibi Shunie hayawezi yeye hata kutoa taa iloungua mpaka fundi!..
Muoga wa umeme hata betri la simu hawezi lishika!.Mfundishe mkuu.
Na wewe unamtegemea vinci!?..[emoji3] [emoji3]
Kweli mkuu.Kweli jf ni mambo yote kila kitu unapata
Tangia juzi king'amuzi changu kinascrumble tu[emoji33]Hapa mjini kati karibu na manispaaa
Kweli mkuu.
[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]Sifungi madishi kwa makachero lakini. Mpaka wawe wameoa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] , kutoa taa iliyoungua naweza banaa, labda huo ufundi kama Wa cute b, Wa kuset madish nk Ndyo siweziiNa wewe unamtegemea vinci!?..
Kina scramble for and partition???[emoji23][emoji23][emoji23]Tangia juzi king'amuzi changu kinascrumble tu[emoji33]
Ingekuwa rahisi kufunga dish hivi.Ngoja Mimi nikusaidie..
Washa TV yako na kingamuzi .. Kama ni cha nje..
Chomeka waya wa dishi sijui ndiyo cable..
Toka na dishi lako nje.. Au batini wengi hupendelea .. Hakikisha kuna mtu yupo ndani anakusomea signal.
Kazi yako itakuwa kutafuta signal nzuri (strong) na frequency..
Baada ya kusoma above 85% itakuwa ipo vizuri . funga dishi lako hapo hapo.
Shuka huko batini rudi ndani anza kusearch channel zako.
Signal unasomea pale kwenye search...
Furahia ulimwengu wa kidigitali.
Asante mkuu..Ww dada nimekupenda njoo pm nikuonge hata laki 3