....Wakuu habarini za asubuhi?
Samahanini wakuu,Leo nipo huku Upareni milimani Mamba Miamba sasa Wazee wangu nimewanunulia dish la Startime sasa ishu ipo kwenye how to install iyo kitu,Kidogo nina uzoefu na Dish la Azam japo sio Fundi ila Naibia ibia kijanja,Naombeni mwenye utaalam na Star time anieleweshe nafanyaje ili kulisimika maana eneo nililopo hakuna mafundi,Tafadhalini sana nisaidieni,Ahsante!
...Asante mkuu,Ila naomba kujua kama kuna frequency unaingiza au inakuaje? Naomba pia kujua signal nasomea wapi maana naona ni 0% Sasa ili ujue kiwa signal ipo vzr unaisomea wapi?
Asante Mkuu,Bado sijasimika nilisubiri maelekezo,Sasa ntasimika then nitaelekeza dish kule kule kwa siku zote ili nianze ku- search,Ili nijue kama sat imekamata nitaona ishara gani.............,...
ni tomatik. Ukipata sat yake inashusha. Je umesimika tayari?
Ngoja Mimi nikusaidie..Asante mkuu,Ila naomba kujua kama kuna frequency unaingiza au inakuaje? Naomba pia kujua signal nasomea wapi maana naona ni 0% Sasa ili ujue kiwa signal ipo vzr unaisomea wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Ngoja Mimi nikusaidie..
Washa TV yako na kingamuzi .. Kama ni cha nje..
Chomeka waya wa dishi sijui ndiyo cable..
Toka na dishi lako nje.. Au batini wengi hupendelea .. Hakikisha kuna mtu yupo ndani anakusomea signal.
Kazi yako itakuwa kutafuta signal nzuri (strong) na frequency..
Baada ya kusoma above 85% itakuwa ipo vizuri . funga dishi lako hapo hapo.
Shuka huko batini rudi ndani anza kusearch channel zako.
Signal unasomea pale kwenye search...
Furahia ulimwengu wa kidigitali.
Umekua mwalimu mzuri sana,Ahsante!Ngoja Mimi nikusaidie..
Washa TV yako na kingamuzi .. Kama ni cha nje..
Chomeka waya wa dishi sijui ndiyo cable..
Toka na dishi lako nje.. Au batini wengi hupendelea .. Hakikisha kuna mtu yupo ndani anakusomea signal.
Kazi yako itakuwa kutafuta signal nzuri (strong) na frequency..
Baada ya kusoma above 85% itakuwa ipo vizuri . funga dishi lako hapo hapo.
Shuka huko batini rudi ndani anza kusearch channel zako.
Signal unasomea pale kwenye search...
Furahia ulimwengu wa kidigitali.
Hahaha usije niita fundi madishi sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Karibu mkuu . ukikwama usisite kunijulisha.Umekua mwalimu mzuri sana,Ahsante!
Sawa wakala wa StartimesKaribu mkuu . ukikwama usisite kunijulisha.
uko vzr, wewe ni fundi wa mambo hizo Cute?Ngoja Mimi nikusaidie..
Washa TV yako na kingamuzi .. Kama ni cha nje..
Chomeka waya wa dishi sijui ndiyo cable..
Toka na dishi lako nje.. Au batini wengi hupendelea .. Hakikisha kuna mtu yupo ndani anakusomea signal.
Kazi yako itakuwa kutafuta signal nzuri (strong) na frequency..
Baada ya kusoma above 85% itakuwa ipo vizuri . funga dishi lako hapo hapo.
Shuka huko batini rudi ndani anza kusearch channel zako.
Signal unasomea pale kwenye search...
Furahia ulimwengu wa kidigitali.
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Sawa wakala wa Startimes
Asante FS.uko vzr, wewe ni fundi wa mambo hizo Cute?
wow, safi sana fundi ,maana miye hapo sielewi chochote yanAsante FS.
Ndiyo ni Fundi ambaye sijasomea lakini.
Hahahahaha itabidi nikufundishe.wow, safi sana fundi ,maana miye hapo sielewi chochote yan
Nimekuviziaga sana hatimae umenasa[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha usije niita fundi madishi sasa.