ashidodi JF-Expert Member Sep 4, 2016 287 334 Jan 3, 2017 #1 Wanajanvi naomva msaada wa kupata CD za tamthiliya ya ezel, hawa waturuki waliigiza kwa weledi mkubwa sana, nimezitafuta sana ila sijazipata
Wanajanvi naomva msaada wa kupata CD za tamthiliya ya ezel, hawa waturuki waliigiza kwa weledi mkubwa sana, nimezitafuta sana ila sijazipata
Mbimbinho JF-Expert Member Aug 1, 2009 8,317 7,738 Jan 6, 2017 #3 ashidodi said: Wanajanvi naomva msaada wa kupata CD za tamthiliya ya ezel, hawa waturuki waliigiza kwa weledi mkubwa sana, nimezitafuta sana ila sijazipata Click to expand... Mkuu ukipata na mimi nishtue nikaichukue, nimeitafuta pia nimeikosa, youtube usumbufu afu inavipande pande vingi kuanzia episode ya 6. Ni bonge la series asee.
ashidodi said: Wanajanvi naomva msaada wa kupata CD za tamthiliya ya ezel, hawa waturuki waliigiza kwa weledi mkubwa sana, nimezitafuta sana ila sijazipata Click to expand... Mkuu ukipata na mimi nishtue nikaichukue, nimeitafuta pia nimeikosa, youtube usumbufu afu inavipande pande vingi kuanzia episode ya 6. Ni bonge la series asee.