Namna ya kupata mke

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,781
Reaction score
31,298
Hivi mliooa na mnaoendelea kuoa mlipata/mnapata vipi hao wake mpaka kuoana? Mbona mimi sipati? Yaani hata girlfriend sina kama ambavyo watu wengine wanao.
 
Penye uzia penyeza lupia mkuu
Nenda kwa maostazi watakupa dawa ya mvuto wenyewe watajileta
Utaanza kuona anakatiza mbele yako huku anatingisha wowo basi ukiona hivyo chapu omba namba na akikupa namba mpigie umtoe out hukohuko unaenda kuhitimisha
 
leo anatumika huku, kesho ndio mke mwema wako
 
Nilikonektiwa na rafiki yangu, nikaanza kutupia nyavu akawa mjanja(mgumu kunasa) akihofia kuachwa solombe, nikakomaa hadi akaingia laini.

The rest is history...
Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…