namna ya kupata imei number ya simu iliyoibiwa

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
3,113
Reaction score
4,011
wataalamu na mafundi jinsi gani nitapata imei ya simu yangu ya android iliyopotea ?
Msaada please
 
Kama hauna box lake ulilonunulia basi jaribu kwenda kampuni ya simu ulikosajiri line yako na wanaweza kuipata kutokana na mawasiliano ya mwisho uliyofanya kupitia hiyo simu.
 
wataalamu na mafundi jinsi gani nitapata imei ya simu yangu ya android iliyopotea ?
Msaada please
Kama ulikuwa watumia email ya gmail ingia kwenye email yako tafuta recent devices itaonyesha devices Zilizokuwa zinatumia email account ba imei
 
Tumia google account uliyokuwa unatumia kwenye simu...itakuletea simu zote ambazo ulishawahi tumia hiyo g account
 
Jibuni swali, Nikweli utaona device ulizotumia,lakinia sio imei ya simu yako.
 
Tumia google account uliyokuwa unatumia kwenye simu...itakuletea simu zote ambazo ulishawahi tumia hiyo g account
Hii ni zaman skuiz hawaonyesh na imei tena
 
kila simu unayoitumia imei yake ina kuwa recorded na kampuni husika na mamlaka husika ya mawasiliano. nenda police wanakitengo maalum kwa kutafutia simu na hasa huzipata kupitia imei maana watajua kwamfano namba ya mtandao x ilitumika kwenye device yenye imei abcde so wataiangalia hyo imei je inatumika ktk namba ipi na mtandao upi. fasta tuu unaenda kumgongea mlango mwizi wako.
 
Mkuu vipi kama ikiwa imeflashiwa bado uwezekano wakuipata upo ?
 
Back
Top Bottom