Apollo one spaceship JF-Expert Member Joined Jan 28, 2021 Posts 246 Reaction score 457 Aug 22, 2025 #1 Naangalia mpira hapa kwenye hisense smart tv ila kuna matangazo yanajitokeza mara kwa mara yanakera sana kwa sababu yanaziba baadhi ya sehemu ya uwanja. Naomba mnieleweshe namna ya kuyaondoa
Naangalia mpira hapa kwenye hisense smart tv ila kuna matangazo yanajitokeza mara kwa mara yanakera sana kwa sababu yanaziba baadhi ya sehemu ya uwanja. Naomba mnieleweshe namna ya kuyaondoa
Mangwea1900 JF-Expert Member Joined May 29, 2025 Posts 2,484 Reaction score 3,275 Aug 22, 2025 #2 Usiangalie hapo wewe angalia mpira