Kwa kukazia zaidi login kwa email mpya waweza kutumia yahoo au outlookOndoa email yako ya simu na ubadilishe password then login upya .. kazi kwisha nadhani anatumia mobile track
Nadhani hujui tracker inavyofanya kazi wewe.Ondoa email yako ya simu na ubadilishe password then login upya .. kazi kwisha nadhani anatumia mobile track
Akitoa hiyo email itasaidiaje hapo..??
Kama unatumia smart4ne angalia kwenye list ya apps zako ambayo huielewi remove it, additionaly epuka kufungua ma links and other attachements usizo zielewa
Mueleze wwNadhani hujui tracker inavyofanya kazi wewe.
Nashukuru kwa michango yenu ila kiukweli nishafanya hard reseting nikabadilisha nywira lakini wapi bado amezidi kuingilia mawasiliano, kibaya zaidi mtu huyo anaexpose mambo yangu ya kifamiliaMueleze ww
Pole sana unatumia simu ganiNashukuru kwa michango yenu ila kiukweli nishafanya hard reseting nikabadilisha nywira lakini wapi bado amezidi kuingilia mawasiliano, kibaya zaidi mtu huyo anaexpose mambo yangu ya kifamilia
Itel S31Pole sana unatumia simu gani
Shukrani nitafanya hivyoItel s31 ni MT6580m.. download sp flash tool kama una lap au desk kisha download file la hiyo simu
Rom iTel S31 MT6580 - 03/10/2018 - Firmware Download Free..iflash mwenyewe...pia weka mcafee mobile security utaona hako kamchezo kanafanywa na app gani
SP Flash Tool - Download SmartPhone Flash Tool
Aisee nitauchukua ushauri wako mkuuMchawi ni mtu wako wa karibu ambaye ana access na simu yako.... tunza simu yako kama korodani yani haishiki mtu tofauti na wewe....usifungue link yoyote kwa muda ....tumia app popular tu kama whatsapp n.k
Yaaaaaa ni kureset ipoteze data na cache zoteWengine wana-hide hizo spy app.
Muhimu ni kureset.