Namna ya kuomba

Mtumishi wa MUNGU Baba ubarikiwe sana, tuna neema nyingi sana katika ulimwengu wa roho bado hatujaziomba haya sasa kazi kwetu. Endelea kutufundisha neno la MUNGU zaidi na zaidi.

ubarikiwe kwa kutambua hilo
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa mafundisho mazuri! Ubarikiwe sana
 
Ubarikiwe mtumishi wa mungu. Nimejifunza kitu kipya.
 
dah nlivyosikia "namna ya kuomba"mawazo yangu yalienda mbali sana!mungu nisamehe
 
Ubarikiwe sana mkuu. Katika utaratibu wangu wa kuomba kuna sehemu nilikuwa nimepwaya sasa umenijazia. Asante sana, uzidi kutupatia soma Manake dunia ya sasa maombi ndio mpango mzima.
 
Asante Tutor B, Kwa muongozo huu ambao ni wa msingi sana, Mungu Akubariki sana
 
Last edited by a moderator:

Sosi NAMNA YA KUOMBA | Strictly Gospel
 
Hii thredii ingekuwa inahusu mambo yetu yalee ungekuta saa hii inawachangiaji elfu na ushee.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…