Namna ya kumuomba mwanamke mtoke out

Namna ya kumuomba mwanamke mtoke out

Jf ukiiendekeza sana utajikuta ndio muamuzi wakila kitu ukifanyacho huko uliko mkuu
 
Wakuu, habarini kuna mrembo mmoja nitokea kuzoeana sana nae, nitumie mbinu gani niweze kumtoa huyu mrembo outing au maneno gani nimwambie ili atambue natakako nimualike lunch ,matusi hawaruhusiwi tafadhali
Dah..simpo Sana..
MAHITAJI:
1. Nyanya mbichi 1kg
2. Chumvi vijiko 3 vya chai
3. Rula 1
4. Chokaa 10kg
5. Noti 20 za elfu 10

Jinsi ya kufanya:
Katakata nyanya kisha zichanganye na chumvi na chokaa..
Mtafute huyo Dem..kwa kutumia rula pima mita 4.3 kutoka alipo Kisha chora duara kumzunguka..
Jimwagie huo mchanganyiko Kisha mpe noti zote halafu ondoka bila kugeuka nyuma...
KAZI kwisha..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom