|
Katika mahusiano ni jambo ambalo linawezekana kwa mwanamke au mwanamume kumbadilisha mwenza wake kutoka tabia mbaya kwenda nzuri lakini ni muhimu kuzingatia yafuatayo, unapotaka kufanya jaribio la kumbadilisha tabia mwenza wako usijenge hoja za kumkosoa na badala yake anza kwa kumsifia yale mazuri aliyonayo kwani kwa kufanya hivyo kutamsaidia huyo mpenzi wako kuanza zana ya kujielewa yeye ni nani ,,kwa mfano kama mpenzi wako ni mlevi ukawa unatumia lugha kama kumkebehi na kumdhalilisha mbele za watu ukifikiri kuwa atabadilika inakuwa ni vigumu kwani inawezekana ndiyo kwanza akazidisha. kinachotakiwa ni kumwambia kwa lugha tamu kuwa mtu kama yeye ambaye ana nguvu na mvuto hapendezi kulewa ,, taratibu ataanza kujielewa na mwisho atapunguza kabisa kama si kuachana nayo, kutumia changamoto za kukosoa kulaumu au kukaripia kama sehemu ya kumfanya mtu kubadilika tabia hakutasaidia mtu kubadilika na inawezekana akaongeza zaidi.tumia lugha tamu kumbadilisha umpendaye. |
ngoja nitafute hata liteja nilichange nione kama litakubali
ngoja nitafute hata liteja nilichange nione kama litakubali
sawa kaka mapenzi popote huwezi kupata mtu alie perfect 100%bebii taratibu
na sio umwambie wazi hayo maharufu yako ya bangio yananikera
mwingine jamaa yake ni mlevi akitaka kumpiga kiss anageuza mdomo
unamwambia tuu taratibu twende kwanza tukapige mswaki mwambie tuu hata kwa utani toka nile chakula asubuhi sijasukutua meno nahisi mdomo wangu una harufu mbaya twende tukapige mswaki
Utashangaa siku anakutoa ndani baruti na kukuitia mwizi hadharani. na watu walivyo hawana hiyana watakuangushia kipigo kumbe ni mwandani wake, hahahaaaaaaaaa!
nakubaliana na wewe kwa asilimia zotesawa kaka mapenzi popote huwezi kupata mtu alie perfect 100%
Unachekesha wewe,, nadhani hujui kuwa eksleta ya farasi n mjeredi.
nimesema hayo kila siku. hebu tumtafute lolyz, lolyzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz, njoo huku bwana, kuna mambo yanakusubiri
yaa unaangalia awe na zile sifa za msingi at least avuke boarder yaani 50% then iyo ingine utajitaidi hadi 80% maana mia uwezi kumfikisha then iyo deficit utaichukulia tu ivo ivo ila kuna wengine ni balaa, si unaona hata huku yule MS BAN kibao ila halichange bwana daahnakubaliana na wewe kwa asilimia zote
Maana kusema kuwa utampata mtu unayemtaka na vigezo vyako vyote itakuwa ni issue
Unampata at least ambaye mkiwa pamoja mnabadilishana na kufundishana ndani kwa ndani
yaa unaangalia awe na zile sifa za msingi at least avuke boarder yaani 50% then iyo ingine utajitaidi hadi 80% maana mia uwezi kumfikisha then iyo deficit utaichukulia tu ivo ivo ila kuna wengine ni balaa, si unaona hata huku yule MS BAN kibao ila halichange bwana daah
hebu nipe tip hapa kama mpenzi wako ni msaliti utamchange vp?Kweli nakubaliana na wewe
Ila tuseme wazi kuwa huwezi mbadilisha mwenzako ndani ya nyumba kw akejeli na dharau
Kila siku unamsimangia kitu hicho hicho tuu
yaani mpaka anakereka
Ila kwa maneno mazuri ya kumtia moyo atabadilika
yale mapungufu ndio ya muhimu katika kuhakikisha kuwa mnafikia lengo la mabadiliko
hebu nipe tip hapa kama mpenzi wako ni msaliti utamchange vp?
TF always mtu mwenye hayo uliyotaja anadondokea kwa mtu ambaye hata haeleweki, sielewi huwa inakuwaje, atafanya yote hayo bado mwenzake hawezi rudishiaTukijifunza kuheshimiana, kuthaminiana kuongea kwa lugha ya staha katika mahusiano yetu basi ni dhahiri kwamba tunajenga mahusiano yaliyo bora na msingi wa mahusianoi yoyote yale ni kupeana heshima kwa wahusika wawili haijalishi kipato umri kama tukiweza kufuata na kujali ni kitu gani tunapaswa kufanya basi ni dhahiri tutadumisha hata pale ambapo tulikuwa hatuwezi kuparekebisha
You are absolutely right kabisa yaani huwa inakuwa ni tofauti kabisa, huwa najiuliza ni kweli ndio mtu uliyepangiwa uwe naye au ni mambo yanatokea tu kwenye maishaTF always mtu mwenye hayo uliyotaja anadondokea kwa mtu ambaye hata haeleweki, sielewi huwa inakuwaje, atafanya yote hayo bado mwenzake hawezi rudishia