Namna ya kujua idadi ya waliotazama chanel flani ya TV

lbaraka

JF-Expert Member
Feb 24, 2014
393
248
Hello wadau
Kwa mara nyingi nasikia channels za kimataifa zikitangaza idadi ya waliotazama maybe mechi flani kubwa au filamu. Unaweza kusikia kwamba waliotazama(viewers) Empire S01 ni watu milioni 9.9 duniani kote. Je, hizo idadi wanazipataje/wanazijuaje?
Hebu fikiria vibanda umiza vyetu huku uswahilini.. Nako wanatuhesabia kweli?
Nawasilisha
 
Nadhani wahesabu kwa decoda zilizopo online wakati wa mechi husika. ila kama ni kwa kutuhesabu mimi na wewe iwe miujiza au wazungu waita miracles, lkn ngoja tuwaachie wataalam waje
 
Nadhani wahesabu kwa decoda zilizopo online wakati wa mechi husika. ila kama ni kwa kutuhesabu mimi na wewe iwe miujiza au wazungu waita miracles, lkn ngoja tuwaachie wataalam waje
Sante mkuu. Ijapokuwa statistics zao zitakuwa ni very inacurate. Bar moja ina decoda mbili tu af wapo watu 100 ndani na wote wanacheki mpira uleule, dah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom