Namna ya ku'jailbreak na ku unlock' iphone 2g 8gb.

Nkwesa Makambo

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
4,763
1,314
Wana JF hasa wataalam na wenye uelewa wa hizi IPHONE,nilijaribu ku apgrade software ya iphone 2g 8gb baada ya kufanikiwa ikajolock kabisa,nimejaribu ku unlock nimefanikiwa kupata network ya service provider wa mobile,hivyo naweza kupokea na kupiga simu,lakini sina uwezo wa kuintaract na facility zingine za iphone kwa sababu haifunguki inaishia kwenye Sign ya kuonyesha kuconnect na itunes au emergency call only. nimejaribu kubrowse mwenyewe nikapata redsn0w 0.9.4 kama ndiyo softaware ya ku jailbreak na unlock kwa kutumia firmware ya 3.1.2. lakini kila ninapojaribu kurun hii redsnow 0.9.4 na firmware 3.1.2 haiwezi kutambua ispw. Naomba kama kuna mtaalam anisaidie kwa hili.

Natanguliza shukran.
 
Mimi nilimpa drphone akalitatua vizuri wasiliana naye yumo humu JF
 
what matters to the right solution ni software version na firmware
 
kwanza iphone 2g mwisho inarun 3.1.3..jaribu kutumia spirit kujailbreak...google 'spirit for 3.1.3'
 
ulishaipatia ufumbuzi au bado!? Kuna ths new modified ipsw ambayo itakupa access to new features ambazo zipo kwenye iOS 5.0+ ambazo ww kama unatumia 2G au 3G huwezi kuzipata ktk ipsw 3.1.3/4.3.3 like background wallpaper, multitasking, iBooks pamoja na installation ya application zinazohitaji iOS 4.0+. Kama upo interest niambie nikuelekeze where to download it.
 
Hata mimi ninatatizo kama la huyu jamaa,Iphone yangu 2g 8gb imestuck kwenye connect to itunes 'emmergency call only' naomba msaada wa kurekebisha tatizo hilo,network ipo ok.naweza kupiga na kupokea simu,lakini siwezi kufanya chochote kingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom