Wana jamii forum leo katika kikao cha shule wetu tumeazimia kufungua website, naomba nisaidiwe kuhusu namna na utaratibu mzima wa kufungua website shule kama taasisi.
Niko mwanza mkuu
Upo wapi unipe dili hilo
Niko mwanza mkuu
Wana Jamiiforums leo katika kikao cha shule wetu tumeazimia kufungua website.
Naomba nisaidiwe kuhusu namna na utaratibu mzima wa kufungua website shule kama Taasisi.
uwezo wako wa kutumia computer upoje? kama ni site tu ya shule unaweza kuelekezwa hapa hapa sio ngumu sana, pia hata kama utatengenezewa itahitajika ku update habari mara kwa mara hivyo itabidi tu muwe na mtu wenu hapo hapo ndani atakaekuwa anafanya kazi hio.
Wana Jamiiforums leo katika kikao cha shule wetu tumeazimia kufungua website.
Naomba nisaidiwe kuhusu namna na utaratibu mzima wa kufungua website shule kama Taasisi.