Namna ya kufungua gazeti lako

Namna ya kufungua gazeti lako

king majah

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
61
Reaction score
50
Nina wazo la kufungua gazeti langu litalohusisha mambo ya kijamii,siasa,michezo na burudani pamoja mambo mengine mbali mbali ya kitaifa na kimatifa.Nataka kufahamu,he natakiwa kuwa na mtaji wa kiasi gani?
Pili kuna utaratibu gani hufuatwa kwenye usajili wa gazeti?
 
Back
Top Bottom