mara nyingi huwa naformat kwa njia yakawaida au naenda pale kwnye desktop~my computer~right click~manage~disc management~natafuta dsc ya ile memory e.g H then naright click~format. Hivi ndivyo nifanyavyo mimi ila kuna hizi memory cards za 128mb na 256mb huwa zinakataa so km kuna mwenye alternative way anisaidie