Masterproud
JF-Expert Member
- Sep 14, 2012
- 441
- 119
Wadau ninatatizo la kufanya USB Tethering kuconnect internet toka kwenye Android phone yangu kwenda kwa PC. Naconnect phone kwenye PC, then nakwenda setting, development, USB DEBUGING. Then narudi Internet and Hotspot, USB TETHERING. Baada ya hapo naingia kwenye blowser lakini haiconnect kwenye internet. Simu yangu ni ya line 2 lakini ninapofanya hvy huwa nadisconnect 1. Pia nimejaribu kutumia dashboard ya vodacom haidetect hata line. Je ninakosea nn? Nifanyeje ili kufanikisha hili? Nifuate hatua zipi na je kama kuna application ya tethering naomba mnisaidie.