Namna ya kuepuka kuchukuliwa msukule

HAKUNA NAMNA YA KUTOKUCHUKULIWA MSUKULE, ZAIDI YA KUYASALIMISHA MAISHA KWA BWANA YESU.

Ukiwa ndani ya Yesu na Yesu akakaa ndani yako shetani hana lolote la kukufanya. Damu ya Yesu yatosha sana!
Kwa wale wasio waamini je?
 
Kama Huyo mganga ni sehemu ya mtumishi wa shetani atashindwaje kuifanya kazi ya shetani kwakuwapa wachawi huo mzindiko?
 
Ndio
Zipo njia kuu saba za kuzuia kuchukuliwa msukule. Kwa sababu za kimaadili, nitaelezea njia moja tu.
Mganga atakuchukua kwa ajili ya kufanya tambiko maalumu la kinga ya kukuzuia kuchukuliwa msukule.
Tambiko hilo litafanyika kati ya saa nne asubuhi handi saa saba mchana au kati ya saa tisa alasiri hadi saa kumi na moja jioni.
Utasimama juani, na kunyoosha mikono yako upande wa kulia na kushoto, mganga atachota nyayo za mikono yako, miguu yako na kichwa chako kwenye kimvuli chako, kisha atauchanganya na dawa mbalimbali ambazo idadi yake inafika kumi na tatu, halafu baada ya hapo ataweka mchanga pamoja na dawa zlizochanganywa na mchanga kwenye nyumba ya konokono, halafu atafungwa kwa kitambaa maalumu na kisha kuhifadhiwa sehemu maalumu.
Kwa tambiko hili, wachawi hawawezi kukuchukua msukule, watakuwa wakikutazama kwenye dira zao hawakuoni.
Watu wa namna yenu ndio munaivuta Afrika nyuma ya maendeleo.Vipi kweli vumbi la kivuli linaweza kumlinda MTU asidhurike? Kivipi? Konokono naye amlinde mtu ? Huo uwezo kautoa wapi? Hirizi zilinde MTU kweli? Hebu jielimishe kidogo tu utagundua kuwa unaibiwa au unaibia watu tu.
 
tatizo la waafrica huwa tunapenda kuembrace unafiki sana! nani kakuambia uchawi unarudisha maendeleo nyuma??? mbona nchi zilizoendelea and possibly top 3 ndio wachawi wakubwa duniani!!
 
Zipo njia kuu saba za kuzuia kuchukuliwa msukule.

Kwa sababu za kimaadili, nitaelezea njia moja tu. Mganga atakuchukua kwa ajili ya kufanya tambiko maalumu la kinga ya kukuzuia kuchukuliwa msukule.

Tambiko hilo litafanyika kati ya saa nne asubuhi handi saa saba mchana au kati ya saa tisa alasiri hadi saa kumi na moja jioni.

Utasimama juani, na kunyoosha mikono yako upande wa kulia na kushoto, mganga atachota nyayo za mikono yako, miguu yako na kichwa chako kwenye kimvuli chako, kisha atauchanganya na dawa mbalimbali ambazo idadi yake inafika kumi na tatu, halafu baada ya hapo ataweka mchanga pamoja na dawa zlizochanganywa na mchanga kwenye nyumba ya konokono, halafu atafungwa kwa kitambaa maalumu na kisha kuhifadhiwa sehemu maalumu.

Kwa tambiko hili, wachawi hawawezi kukuchukua msukule, watakuwa wakikutazama kwenye dira zao hawakuoni.
Umesikia tunahitaji uchawi wako huku? Unatuboa bwana...
 
Back
Top Bottom