Namna ya kuendesha website na gharama zake

syllae

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2015
Posts
1,793
Reaction score
1,922
Wakuu wa jf habarin za mchana
Nina wazo LA kuwa na website na nimeshatafuta watu kam watatu wa kushirikiana nao hawa ni wa computer ila Nina duku duku katik upande wa mbele wa muonekano na ni jinsi gan ntaiendesha.kuhusu kuwa na web sio kazi ila kazi ni katik kuiendesha na kufany watu waitembelee.nahitj kujua vitu vya muhimu vya kuwa navyo baada ya kuianzisha website,
 
Naombeni msaada wadau wa aya mambo
 
WEBSITE Yako inahusiana na vitu gani?
 
Jambo la kwanza,ni lazima ujue kama wateja wako wapo!
Usije ukaanzisha then ukawa unatembelea wewe tu!
 
Nimekusoma san mkuu BT kuna ulazima wa kuwa watu wengi katik kufny iweze kutembelew zaid?namaanisha ishu nzima ya umiliki na kipi cha Ku post?
 
Poa poa mkal,
Kam una mawazo chanya changia bhc mzeebaba
wazo lako zuri. hiyo kazi unayotaka kufanya kwa kifupi ni udalali wa nyumba na mashamba online. so jipange. ninachojua wateja wa kununua au kupanga au kukodi wapo. ishu utawafikiaje?. utawapataje wateja?. do marketing mdada
 
Mkuu mim ni me co mdada ngoja nibadili iyo picha kam vip
 
Nimekusoma san mkuu BT kuna ulazima wa kuwa watu wengi katik kufny iweze kutembelew zaid?namaanisha ishu nzima ya umiliki na kipi cha Ku post?
Hata kama ni wewe peke yako,ila "hadhira" ni lazima iwe kubwa na yenye kurudi mara kwa mara,hyo itatokana na vitu unavyoandika.
 
Nikupongeze sana mleta mada kwa kupata wazo hilo.
lakini ninaomba nikuambie kuwa hicho ulichofanya mpaka sasa ni kuwa tu na wazo la biashara,unahitaji kupata muda wa kutosha kwa ajili ya kuiplan vizuri hiyo idea yako nzuri.
Angalia vitu 1. huduma ambayo utaitoa sasa na baadae.
2.gharama unazohitajika kuwekeza
3.jinsi utakavyofaidika na kiasi cha faida
4.vipengele vinginevyo muhimu katika uanzishwaji wa biashara.

mwisho nikuambie tu odea yako ni nzuri,watu wengi wanahitaji kuuza hawajui wapate wapi wateja,na lukuki wanataka kununua hawajui wapi wapate.
 
Back
Top Bottom