Namna ya kudownload apps buree katika smartphone na adroid

king majah

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
61
Reaction score
50
"jinsi ya kupata na kudownload application ambazo zinalipiwa kwenye Google play bure na zenye latest version.

HATUA YA KWANZA:

-download application inaitwa APTOIDE(ni apps ya bure).. ili kuidownload fanya hivi:-nenda kwenye brower yoyote unayoitumia ( OPERAMINI au UC BROWER) nenda sehemu ya google ukaandike APTOIDE then bonyeza search.... kwenye search results utaona sehemu pameandikwa INSTALL-APTOIDE-ANDROID STORE, au unaweza kuclick ile ya kwanza kabisa imeandikwa HOME| aptoide android apps store....nthen click utaona sehemu pameandikwa Install aptoide....nenda paclick(kubonyeza) then download hiyo apk then fanya kuistall katika simu yako

HATUA YA PILI

-Kuchua karatasi na pen then nenda kwenye PLAY STORE ...andika majina ya application za kulipia ambazo unazitaka.....ukimaliza nenda kafungue .... application yako ya APTOIDE ulioidownload.....ikifunguka ipo kama play store.....kwa juu upande wa kulia kunasehemu pa kusearch....eeehee kabla ya hivyo vidoti vitatu....paclick..... then unakumbuka majina ulioandika chini ya application ambazo unazitaka haya andika hapo then search itakuja hapo na utaidownload ......isipoonekana nenda kwa chini kidogo utakuta pameandikwa SEARCH OTHER STORES nenda pa click itakuletea complete action using.........

changua brower yoyote hapo.....zitakuja hapo angalia aina ya application unayoitafuta.....angalia yenye wingi wa kudownloduiwa....then click install .....HIVYO NDO JINSI YA KUDOWNLOAD application za kulipia BURE.

JAMBO LA MWISHO JINSI YA KUFANYA SCANNING ya document kwa kutumia simu yako ya android HAINA HAJA ya kutoa ELFU MOJA ya kufanya scanning kwenye INTERNET CAFE .... haya fanya hivi..... nenda kwenye application ya APTOIDE kama nilivyokufundisha hapo juu nenda katafute application inaitwa CAMSCANNER PREMIUM kwenye google play ni dola 5 ila nimekufundisha jinsi ya kuipata bure ......ukishaidownload ifungue then utaona humo humo kuna sehemu ya camera .... haya sasa chukua cheti chako au document yoyote....ipinge picha kutumia hiyo application ....ukimaliza itakuletea uiweke vizuri then kwa chini kulia kunasehemu ipo kama tiki.....haya pa click hapo itakuscania document then itasave kwenye simu tayali kuituma kwenye emails

Mkuu king majah nimeweza kudownload Aptoide. Tatizo ni kuwa kila app ninayosearch inasema "you don't have APPNAME in your added stores" nifanyeje?
 
Last edited by a moderator:

LIST ya application bora nitawapatia hapo kesho ( guys msisahau kunipatia hata vocha ya 1000) kwa hichi nilichokifundisha...PIA GUYS nasubiria comment zenu plz plz msiache kukoment....itanipa moyo niwafundishe zaidi na zaidi......kabla sijasahau plz vocha guys AM BACK Mrs nest Drama Girl hivi kweli mmenimisije"

Kiukweli ni jambo la kushangaza sana lakini ndio ukweli,Ama kwa upande wa policy na privasy za makampuni yanayouza APPS ni haramu kufanya hivyo, yoyote atakayefanya basi azingaztie hatari iliyopo mbele yake

Mi nimefanya kama ulivyosema, nimedownload poweramp full version, nikaitumia mara moja, najaribu kuitumia tena inakataa, naambiwa mara poweramp imeshindwa kuverify purchase kwenye play store, mara sijui haiwezi kuverify voice, kwa ufupi ni kua haifunguki. Ni kwa power amp tu au ni apps zote zinazouzwa?
 
Nimeweza kudwnoad application nyingi za kulipia mineral craft... Mx players etc... Kijana uko vizuri
 
Mi nimefanya kama ulivyosema, nimedownload poweramp full version, nikaitumia mara moja, najaribu kuitumia tena inakataa, naambiwa mara poweramp imeshindwa kuverify purchase kwenye play store, mara sijui haiwezi kuverify voice, kwa ufupi ni kua haifunguki. Ni kwa power amp tu au ni apps zote zinazouzwa?

Jamani yu wapi King Mjah anijibu?
 
sorry sikuwa hewani kitambo lakini kwa mimi nilifanya hivyo na nikafanikiwa hivyo nikaamua kushare maarifa nanyi.....sasa kwa hapo sijajua suluhisho
 
Atakayeweza kudownload musicamp aje hapa aseme!

poweramp full version unlocker inahitajika simu yako iwe na root access, hapo ndo utakuwa na uwezo wa ku patch file ukiwa na superuser permission, sijui kama kuna njia nyingine zaidi ya hio
 
Mi nimefanya kama ulivyosema, nimedownload poweramp full version, nikaitumia mara moja, najaribu kuitumia tena inakataa, naambiwa mara poweramp imeshindwa kuverify purchase kwenye play store, mara sijui haiwezi kuverify voice, kwa ufupi ni kua haifunguki. Ni kwa power amp tu au ni apps zote zinazouzwa?

kama simu yako ina root access basi fata hatua hizi,
kwanza kama unatumia tayari poweramp trial version kwenye simu yako nenda kwenye app settings kisha clear data za poweramp,
Kisha nenda kwenye aptoid tafuta poweramp full version unlocker kisha idownload na ui install, kisha fungua ile poweramp na kuifunga, hapo utafungua hii unlocker na itakuomba superuser permission ya kupatch, utairuhusu, then enjoy your poweramp full version.
 
Ku root nilishakataaa kitambo nitainunua tu, maana sio garama kiivo.
 
Mwalim nimekupata vizuri naingia chimbo faster nikajichukulie,hizo maneno,
 
Back
Top Bottom