Startimes namjua anaechakachua,, bei lak 2 na nusu unakuwa ulipiii tena maishani mwako..
Kuhusu ting sina uhakika ngoja niulize watoto wa kitaa kama nacho wameshajua mbinu za kuchakachua
Acha kupagawisha watu
Startimes namjua anaechakachua,, bei lak 2 na nusu unakuwa ulipiii tena maishani mwako..
Kuhusu ting sina uhakika ngoja niulize watoto wa kitaa kama nacho wameshajua mbinu za kuchakachua
Ukipenda sana bure mwisho wake ni kushikishwa ukuta!!!