Namna ya kuamsha hamasa ya mwanamke

i thought you are under age kumbe lol!.......... nimeng'aduliwa???? mdogo wangu unakua haraka sana siku hizi narudia tena kukuambia.
 
duh! leo nimeaini mmu watu wanapenda kurushwa maji lol! kuna wengine nilijua ni watoto lkn wanashuka nondo kama watu wazima lolest! wengine kwa harufu tu mate ya wajaa mdomoni, sijui wakiona itakuwaje.

kama kazi zimefanyika sijui kwa mtindo wa hii sred.
 
Rafiki, achana na watoto wa siku hizi, wanakuacha mjini.
kuna siku mama mmoja rafiki yangu alikuwa anaongea na mumewe ambaye alikuwa anashangaa binti yao anatoroka kwenda kwa bf, eti dingi anasema hivi huyu hata ku......na anajua kweli? Mama mtu akajibu "mume wangu, mat..si ambayo Hawa watoto wanafanyana sisi hatujawahi kuyafanya miaka yote hii tuliyooana, lol! Kila nikikumbuka hiyo statement huwa nacheka mwenyewe kama mwehu
 
Sasa kwenye maelezo hayo yote mbona hakuna kipya? Au WanaJF wengi waliokusifu ndio wanayasikia haya leo hii kwa mara ya kwanza? Mi sijaona kipya chochote, may be kwa watoto wenye rika la kwenda jando!
 
mmh! salam hii kwa sauti hii, na madaha haya, mmh! nahisi wataka kunipandisha fuso nirudi kwetu wewe.
Usijali bibie gfsonwin nina hamu ya kukuona tutakuja siku tuonane inshallah vilima kwa vilima havikutani ila wadamu huwa wanakutana tutaonana Mungu akipenda.
 
Last edited by a moderator:
bibie gfsonwin tunazungumza na watoto wetu humu ndani pasipo na kujuwa ehhh umemshtukia kuwa huyu watu8 ni bwana mdogo? bibie hujambo? habari za kupoteana?

Mkuu naona wanichomea hahaha...pamoja na umri kuwa mdogo nikilinganisha na umri wenu lakini bado nima,nafasi ya kusaidia pindi mdaada unapohitajika, na huu niliotoa ni moja ya msaada kwa kundi kubwa la wanaume wasiojua kuwapa wake zao haki ya ndoa...
 
Last edited by a moderator:
mmh nimekua dada yangu na haya mambo hayana wa kuyakwepa, kujifunza ni muhimu...

Mkuu naona wanichomea hahaha...pamoja na umri kuwa mdogo nikilinganisha na umri wenu lakini bado nima,nafasi ya kusaidia pindi mdaada unapohitajika, na huu niliotoa ni moja ya msaada kwa kundi kubwa la wanaume wasiojua kuwapa wake zao haki ya ndoa...
kwa stail hii mmh!
hivi kati ya beckham na torres nani mpira wake uko juu kwa sasa?
 
kwa stail hii mmh!
hivi kati ya beckham na torres nani mpira wake uko juu kwa sasa?

hahah! to my world wote viwango vipo sawa pamoja na umri kutofautiana na ligi wanazochezea kuwa tofauti....
labda niulize kuna kigezo cha umri ili kuweza kuchangia MMU, au ni uzoefu, uelewa na ujuzi ndio vigezo??
 
hhahahha! labda kama even at 45 mtu anakuwa mchezaji wa timu ya taifa but kama sio ni wazi kwamba vijana ndo wachezaji wazuri kama vile wewe.

mm nimesha zeeka mdogo wangu, hapa nilipo mshale ni mbili kasorobo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…