Mzizi mkavu kuiba huku ni ngumu sana maana watu wanajuana na hata ukiamua kwenda zile sehemu za kupumzikia unajulikana tu kuwa wewe ni mwizi mbaya zaidi zana za vita kupata ni ngumu hivyo kulifanya zoezi zima kuwa gumu,najaribu kuweka akili yangu kwenye kazi ila yule mwanamke kanifanyia mbaya sana.mkuu Joseph Iba tu lakini si unajuwa Za mwizi zake ni siku 40................... ikifika Arubaini yako utakamatwa....... iba lakini uende mbali na unapokaa wasije majirani wakakuchomea kwa mke wako...................
hahahahhaahhahhaha mi nitatoa nondo baadae bana !unataka nisifundishe nini leo!lol
Duh! Kumbe huku ndo kwenyewe eee! me wet mh!
KEEEEEEEREUWIH! MziziMkavu haya unaona watu hatutafanya kazi leo hapa,naombeaje mwalimu mwenzangu gfsonwin awe na vipindi mpka jioni na mke mwenzangu wa sirini cacico nae awe busy au hata Elizabeth Dominick awe na dili kali kweli kweli wasije huku!
Mkuu Joseph mkuu ninakuona kama wewe ni Mmasai? naona kama uko kule moshi kibosho nini? kwa sababu mimi nilikuwepo moshi miaka ya 1976 ninawajuwa wamasai ni watu kufuga kazi yao kubwa na kama ungelikuwepo Dar ningelikuuliza upo sehemu gani? kwa sababu Dar ni mji mkubwa kama unakaa dar ilala waweza kwenda kinondoni au kama unakaa temeke waweza kwenda ubongo si unajuwa mji wadar ulivyokuwa mkubwa kaka?Mzizi mkavu kuiba huku ni ngumu sana maana watu wanajuana na hata ukiamua kwenda zile sehemu za kupumzikia unajulikana tu kuwa wewe ni mwizi mbaya zaidi zana za vita kupata ni ngumu hivyo kulifanya zoezi zima kuwa gumu,najaribu kuweka akili yangu kwenye kazi ila yule mwanamke kanifanyia mbaya sana.
yatafanyika tu bibie Elizabeth Dominic hiyo ndio mamkizi ya asubuhi ya leo jumanne baada ya kwisha sherehe za sikukuu ya kuchinja karibu ukaribie unakaribishwa sana.Hayaa! mbona nimejikuta tu humu...........mambo yatafanyika kweli leo?
huku nilipo baridi inaanza natafuta wa kumkubatia mwanamke anitie joto la mwili nimekumbatia Mablanketi tu nimechoka shemeji yako yuko huko huko bongo ahhhhhh watu8 Ulaya pasipo na mwanamke hakuna raha haswa kipindi hiki cha baridi weee wacha mkuu.......karibu MMU, na karibu JF...huko ulipo mvua yanyesha au ?
MziziMkavu Mpwa leo vipi leo? subiri bhana ifike japo ijumaa eeeh, hii ni ya pili naiona una post tangu asubuhi sasa unaniumiza sana maana tayari nimeshaacha kitanda nipo kwa mwajiri, usitake nianze kufikiria mbali Mpwa, tafadhali sana, laiti ingekua Ijumaa fulani hivi au jumamosi lazima jumatatu ningekuletea feedback....subiri nimfowadieMy wife wangu ilai kesho nikichelewa job utakuwa responsible kwa huu usumbufu utakaokuwa umeusababisha hahahahhaahahaaa
huku nilipo baridi inaanza natafuta wa kumkubatia mwanamke anitie joto la mwili nimekumbatia Mablanketi tu nimechoka shemeji yako yuko huko huko bongo ahhhhhh watu8 Ulaya pasipo na mwanamke hakuna raha haswa kipindi hiki cha baridi weee wacha mkuu.......
Mzizi mkavu nipo Zanzibar sehemu ambayo kwanza huwezi kupata kinga kwa urahisi kutokana na huku kutotumika sana kwani ni kinyume na dini na hata maduka ya madawa hayauzi kabisa kinga za mapenzi.Mkuu Joseph mkuu ninakuona kama wewe ni Mmasai? naona kama uko kule moshi kibosho nini? kwa sababu mimi nilikuwepo moshi miaka ya 1976 ninawajuwa wamasai ni watu kufuga kazi yao kubwa na kama ungelikuwepo Dar ningelikuuliza upo sehemu gani? kwa sababu Dar ni mji mkubwa kama unakaa dar ilala waweza kwenda kinondoni au kama unakaa temeke waweza kwenda ubongo si unajuwa mji wadar ulivyokuwa mkubwa kaka?
yatafanyika tu bibie Elizabeth Dominic hiyo ndio mamkizi ya asubuhi ya leo jumanne baada ya kwisha sherehe za sikukuu ya kuchinja karibu ukaribie unakaribishwa sana.
ayaaaaah!ona sasa Mzizi mkavu hasara itakayopatikana kwa taifa letu pendwa la tanzania iliyoungana na pemba na zimbabwe lawama zote zikurudie!
Sikukuu ni siku mbili au tatu tu King'asti kwangu mimi sikukuu ni siku yoyote ile ninayokuwa na furaha moyoni mwangu ndio ni sikukuuDuh! Kwa hiyo kwenu sikukuu ni ijumaa na jumamosi tu. Ratiba anasimamia nani?
MziziMkavu Mpwa leo vipi leo? subiri bhana ifike japo ijumaa eeeh, hii ni ya pili naiona una post tangu asubuhi sasa unaniumiza sana maana tayari nimeshaacha kitanda nipo kwa mwajiri, usitake nianze kufikiria mbali Mpwa, tafadhali sana, laiti ingekua Ijumaa fulani hivi au jumamosi lazima jumatatu ningekuletea feedback....subiri nimfowadieMy wife wangu ilai kesho nikichelewa job utakuwa responsible kwa huu usumbufu utakaokuwa umeusababisha hahahahhaahahaaa
Polesana wewe upo kwa watu wa uamsho Joseph Uko hakuna mchezo kwa ndugu zangu yakhe wanajuana kwa kila hali usifanye mchezo huko utaozeshwa ndoa ya mkeka usijaribu kabisa......................Mzizi mkavu nipo Zanzibar sehemu ambayo kwanza huwezi kupata kinga kwa urahisi kutokana na huku kutotumika sana kwani ni kinyume na dini na hata maduka ya madawa hayauzi kabisa kinga za mapenzi.
Huku watu wanajuana kiasi kwamza hata ukichukua mtoto wa mtu utashangaa unapigwa ndoa ya mkeka bila kupenda na mbaya zaidi ukiwa unatoka bara basi ujue wanakufilisi.
bibie Elizabeth Dominic pole sana nimekuamsha vibaya usijali kila la kheribibie ..........................Sio njia zuri ya kuanza siku at all, ukizingatia huku mvua inanyesha umeyapeleka mawazo yangu kusiko............asante lakini kwa mkaribisho lakini