Nliroot kwa king root japo nkiweka root checker inazngua inasema ckukamisha rooting but nw hata developer kwenge cm hkuna
View attachment 415011
Fungua kingroot,angalia juu kabisa mkono wa kulia,utaona vidot vitatu,hivyo ni menu,vi-click.
View attachment 415012
Ukishavi-click,itakuja option kama unayoiona,chagua 'general setting'
View attachment 415013
Ukishachagua 'general setting',shuka hadi kwenye 'unistall kingroot'
View attachment 415014
Ukishachagua 'uninstall kingroot',kitakuja kibox,bonyeza 'continue'
View attachment 415016
Ukishabonyeza 'continue',kitakuja kibox kingine,bonyeza 'OK'
View attachment 415017
Ukishabonyeza 'OK',kitakuja kibox kingine kitakuonyesha ' In progress',hapo maana yake kinatoa root.
View attachment 415018
Tayari sasa root katika simu yako imeshatoka,itakwambia 'Root access has be removed'
Mpaka hapo utakuwa umeshatoa root completely.