Wadau, Nimepata ipad2 3G ambayo iko locked kutumia sim card ya japan (Softbank network). Je kuna uwezekano wa kui-unlock ili ikubali kutumia mitandao yetu ya kibongo? Je hii huduma ya ku-unlock inapatikana wapi? Msaada tafadhali