asante kaka! Hivi ile n9 yako ulishaiuza tayari!?
yah tayari
Yah unaweza
.
lakin sio kirahic 2 kwamba utapata software flani alafu ndo uinstall hapana
.
napia huwez replace android to windows kwa kutumia software flani..
.
huwa wanatumia boot loader mi nili2mia haRET lakin kuna process ndefu tu zakufanya na files kazaa mi nimewah ktk htc flan GOOGLE
.
Ila mimi sikushauri ufanye hvyo mana any problem utakayopata.. Hutoweza pata msaada ulikonunua mana umekiuka sheria zao..
Kwanza install Classic Shell, hii itakupa Stat Menu kama ya Xp au Windows 7 na pia itaifanya Windows 8 iboot straight to Desktop ya kawaida. Classic Shell - Start menu and other Windows enhancements
Kuhusu modem, inawezekana hiyo modem haina Drivers ambazo zipo compatible na Windows 8 or at least haiji na hizo drivers so PC inabidi iwe connected online tayari wakati unachomeka modem ili windows iweze kudownload drivers mpya.
Kwanza install Classic Shell, hii itakupa Stat Menu kama ya Xp au Windows 7 na pia itaifanya Windows 8 iboot straight to Desktop ya kawaida. Classic Shell - Start menu and other Windows enhancements
Kuhusu modem, inawezekana hiyo modem haina Drivers ambazo zipo compatible na Windows 8 or at least haiji na hizo drivers so PC inabidi iwe connected online tayari wakati unachomeka modem ili windows iweze kudownload drivers mpya.
.
sijelewa UNAZUNGUMZIA NIN KAKA
.
.NIELEWESHE PLEASE
Wrong thread mkuu sorry. Kwa upande wako hii kitu sio rahisi kabisa na hata ukifanikiwa experience yako itakuwa mbovu sana kwenye hiyo simu, ni bora uiache kama ilivyo.
Finally I meet someone who had N9, I have been a big fan of the N900 and the N9, the former being my all time favorite phone... I tried to sell them ila I finally decided to keep them kumbukumbu, precious ornaments of mine. That's the path Nokia should have taken sad to see the platform die!!! 🙁
proud htc hd2 owner inkuja na windows 6.5 ila u can do alot to the phone weka android, firefox, wm 7.8 ubuntu windows rt, meego wm8 nimeshatumia wm7.8 na versions tofauti za android i am hoping kujaribu nyingine soon
hii ya win rt si kweli haingii akilini nataka niione kwa macho au video youtube unaweza prove?
At the moment haiwezekani kuweka android kwenye lumia. Hardware ni tafauti sana, os tafauti mno...linux vs microsoft...hata processor instructions ni tafauti. Ingekuwa rahisi kila mtu angetumia os ya mwingine na tusingenunua simu mpya sasa.
Sent from my SM-N900 using Tapatalk
Firmware ndio OS yenyewe. Kuna mambo mengi zaidi ya EFI. Inaazia kwenye hardware pia. Mf. Unaweza kukuta os fulani haisupport usb3.0. Tayari hapo nitafauti. Mf.2 labda os A. Firmware X inaitaji hdd iwe na SATA sio IDE hata kama os.B itawasha pc haitaweza pata connection. Hapo ni hardware compatibility, Ndio maana manufactures wanatumia pin tafauti katika processor zao ili wasiingiliane. Intel na amd pin processor zao tafauti ila os moja. Kuna mambo mengi sana.
Sent from my Samsung Note III using Tapatalk