Habari Wana jamvi!
Bila shaka mpo okeay, huku tukisonga na gurudumu letu la kuijenga Tanzania pendwa.
Moja kwa moja naomba niende kwenye maada husika.
Naomba kujua/kufahamu namna ya Ku extract file, namaanisha kwamba, kwa mfano ulitaka kutengeneza website au forum, au site yeyote kwa kutumia hii joomla au phBB software , lazima watakuambia uregister kwanza ndo taratibu zingine zifuate, baada ya hapo utaambiwa udownload hilo file (Zip file). Baada ya kuldonwload utaaliserve kwenye laptop/desktop.
Sasa tunaomba kwa anae jua namna ya kulifungua atupe step by step mpaka liweze kutumika au kufanikiwa kufanya kazi,
Shukran sana wakuu.