Namna Wasabato wanavyowachukulia wasio Wasabato wenzao

Ibada halisi ni rohoni mwa mtu wakati wote, siku zote (Luka 18:1)
Sawa. Inamaana suala la siku tunafuta, huko mbele nimeuliza kuhusu amri kumi kutaja siku ya ibada ndo naeleweshwa hapa kuhusu amri ya ikumbuke siku ya saba kuwa ilikuwa ya musa na watu wake. Nimehoji swali.

1. Je sio kila ujumbe umemlenga kila mtu katika biblia? Naendelea kusoma majibu

Okey. Embu fanya kama unaongea na layman.

Ulisema sheria zilikuwa za Musa ambaye natambua ni kiongozi wa Israel, Na katika kizazi cha YESU kuna agano jipya linalohubiri Upendo, nikahoji kuwa kama kila ujumbe wa biblia unamuhusu kila mtu.

hapa ametaja Israel na Yuda, Je kuna tofauti ya hivi vizazi viwili? Naomba unijibu kisha nitaendelea kuuliza.
Ndiyo kuna tofauti

Sawa. Inamaana suala la siku tunafuta, huko mbele nimeuliza kuhusu amri kumi kutaja siku ya ibada ndo naeleweshwa hapa kuhusu amri ya ikumbuke siku ya saba kuwa ilikuwa ya musa na watu wake. Nimehoji swali.

1. Je sio kila ujumbe umemlenga kila mtu katika biblia? Naendelea kusoma majibu
Ndiyo si kila ujumbe umemlenga kila mtu

• Thanks
Reactions: Tsh
Kwa kifupi nukuu imepachikwa tu. Haipo katika vitabu vyote vya Ellen Gould White.

Mungu anao utaratibu wa ibada na ameelekeza katika Maandiko matakatifu. Wanaosema wasabato wana madhehebu zaidi ya 200 wanaosali jumamosi wapo sahihi, ila Kaisa la Waadventista wasabato ni moja tu Duniania kote Hilo ndilo lenye sifa zinazotajwa katika Maandiko matakatifu kuwa kanisa la kweli.

Sifa zinazotajwa na maandiko matakatifu za kulitambua kanisa la kweli hizi hapa.

1.Kushika amri 10 za Mungu bila kuzichakachua. Kutoka 20:1-17

2.Kuwa na ushuhuda wa Yesu yaani Roho ya unabii. Ufunuo 19:10, uf 12:17

3.Kutangaza ujumbe wa Malaika watatu kwa Kila Taifa, lugha, kabila na jamaa ufunuo 14:6

4.Kutangaza Anguko la babeli ya kiroho(mafundisho ya uongo) ufunuo 14:8, mwanzo 11:7-9

5.Kuwa na subira ya watakatifu ufunuo 14:12, zaburi 27:14

6.Kuwa na Imani ya Yesu ufunuo 14:12

7.Kuwaonya watu na mataifa yote Juu ya kupokea alama ya mnyama ufunuo 14:10.

Hizi ndizo sifa za kanisa la kweli hivyo Kila mmoja haijalishi anasali jumamosi, jumatatu, jumapili au ijumaa Ajipime hapo.

MARANATHA.

Hoja hapa sio jina la siku, Jina la siku ni matokeo ya tafsiri tu. Hoja hapa ni Ukristo na maamuzi ya lini ni siku ya BWANA.

Kama kila siku ni siku yake, ile amri ya ikumbuke siku ya saba ni ya nn? Kama majina hayana maana kwann siku ya kwanza ambayo ni ya ufufuo iwe siku ya ibada?

MBONA MASWALI MARAHISI SANA HAYA? UKRISTO NI MZITO HIVI?
Ipo tofuati kubwa sana ya agano la kale (torati kwa mkono wa Musa) na agano jipya ambalo lina neema, kweli na upendo wa Mungu kwetu.

Agano la kale lilikuwa kivuli au unabii wa agano jipya lililo bora zaidi ndani ya Kristo. Itoshe kusema pumziko halisi ni Yesu na si siku fulani. Mshike Yesu, siyo siku!

Wadau hamjamboni nyote,

Nimeweka Nukuu ya Hellen G White Nabii anayekubalika na kuheshimiwa sana na Waadventisya Wasabato Duniani, namna anavyowachukulia Wakiristo wengine wasio Wasabato;

"Stan has taken full possession of the [non-Adventist] Churches" and even their prayers are an "abomination" to God."

Hellen G White quote

Karibuni tujadili kwa pamoja, lugha zisizo na staha hazitakubalika.

View attachment 2461958
Kama hakuna kifungu cha biblia kinacho thibitisha hoja yake.Hizo zinabaki kuwa ni story zake mwenyewe.So ataendelea kuaminiwa na jamii isiyotumia biblia kuijua kweli

Ndiyo si kila ujumbe umemlenga kila mtu
Sasa tutahitimisha vipi kuwa ujumbe ambao wasabato hawajautumia kama kigezo cha kuachana na amri kumi ya siku ya saba haujaelekezwa kwao hivyo hauna madhara kwenye uamuzi wao?

Waebrania 8:7
Maana kama lile la kwanza lingalikuwa halina upungufu, nafasi isingalitafutwa kwa lile la pili.

Waebrania 8:8
Maana, awalaumupo, asema
Angalia, siku zinakuja, asema Bwana,
Nami nitawatimizia nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda agano jipya;

Soma sura yote ya nane unaweza kuelewa jambo hapo na ujijibu kama zilifutwa, zilikamilishwa, ama vyovyote utakavyo elewa
Mpe na Wakolosai 2:16

Ipo tofuati kubwa sana ya agano la kale (torati kwa mkono wa Musa) na agano jipya ambalo lina neema, kweli na upendo wa Mungu kwetu.

Agano la kale lilikuwa kivuli au unabii wa agano jipya lililo bora zaidi ndani ya Kristo. Itoshe kusema pumziko halisi ni Yesu na si siku fulani. Mshike Yesu, siyo siku!
OK...Wasabato hawajamshika YESU wameishika siku?

Usinichoke, Unajua najaribu kutafuta msingi wa utofauti ulipo. Wote ni wakristo, Na mahubiri ya mahubiri ya kisabato, ya kilokole, kikatoliki, kilutheri yanamtaja KRISTO kama MUNGU.

Sasa ukikutana na mm ninayeamini yupo MUNGU na ukatakiwa kunipa elimu kuwa huyo MUNGU ni MUNGU wa wakristo lazima nitajiuliza hawa ndo wale wamegawanyika kama vikoba? Wamegawanyika kwa sababu gani?

Sawa. Inamaana suala la siku tunafuta, huko mbele nimeuliza kuhusu amri kumi kutaja siku ya ibada ndo naeleweshwa hapa kuhusu amri ya ikumbuke siku ya saba kuwa ilikuwa ya musa na watu wake. Nimehoji swali.

1. Je sio kila ujumbe umemlenga kila mtu katika biblia? Naendelea kusoma majibu
Futa kabisa kupanga siku fulani! Mwabudu Mungu siku zote katika roho na kweli baada ya kuokoka kwa kumwamini Yesu moyoni mwako na kumkiri kwa kinywa chako. Aidha, omba ujazo wa Roho Mtakatifu na nguvu zake, maana ndiye hutufunulia au kutuelewesha usahihi wa maandiko. Pasipo kuongozwa na Roho Mtakatifu ni ngumu sana kuyaelewa maandiko kwa akili zetu.

Futa kabisa kupanga siku fulani! Mwabudu Mungu siku zote katika roho na kweli baada ya kuokoka kwa kumwamini Yesu moyoni mwako na kumkiri kwa kinywa chako. Aidha, omba ujazo wa Roho Mtakatifu na nguvu zake, maana ndiye hutufunulia au kutuelewwsha usahihi wa maandiko. Pasipo kuongozwa na Roho Mtakatifu ni ngumu sana kuyaelewa maandiko kwa akili zetu.
Sawa. Nikifuta mambo ya siku, nikakiri nikaokoka na kujazwa roho mtakatifu, nikaongozwa na upendo. Je nikijumuika na wasabato kusali jumamosi kutakuwa na tatizo? Maana huwez kwenda ibadani kila siku

Kwa kifupi nukuu imepachikwa tu. Haipo katika vitabu vyote vya Ellen Gould White.

Mungu anao utaratibu wa ibada na ameelekeza katika Maandiko matakatifu. Wanaosema wasabato wana madhehebu zaidi ya 200 wanaosali jumamosi wapo sahihi, ila Kaisa la Waadventista wasabato ni moja tu Duniania kote Hilo ndilo lenye sifa zinazotajwa katika Maandiko matakatifu kuwa kanisa la kweli.

Sifa zinazotajwa na maandiko matakatifu za kulitambua kanisa la kweli hizi hapa.

1.Kushika amri 10 za Mungu bila kuzichakachua. Kutoka 20:1-17

2.Kuwa na ushuhuda wa Yesu yaani Roho ya unabii. Ufunuo 19:10, uf 12:17

3.Kutangaza ujumbe wa Malaika watatu kwa Kila Taifa, lugha, kabila na jamaa ufunuo 14:6

4.Kutangaza Anguko la babeli ya kiroho(mafundisho ya uongo) ufunuo 14:8, mwanzo 11:7-9

5.Kuwa na subira ya watakatifu ufunuo 14:12, zaburi 27:14

6.Kuwa na Imani ya Yesu ufunuo 14:12

7.Kuwaonya watu na mataifa yote Juu ya kupokea alama ya mnyama ufunuo 14:10.

Hizi ndizo sifa za kanisa la kweli hivyo Kila mmoja haijalishi anasali jumamosi, jumatatu, jumapili au ijumaa Ajipime hapo.

MARANATHA.
Hizi speculation ndio zilizo wapoteza wasabato sababu hazina maana yoyote zaidi ya kuhukumu watu bila sababu za msingi...

Kanisa la kweli ni lile linalotangaza upendo wa kristo kwa watu wote bila classification wala kuona huyu anafaa na yule hafai.

Kuhusu amri: Amri za Mungu zipo kwenye roho ya kila mtu tangu kuzaliwa kwake haijalishi ataenda kanisani ama hatoenda yaani zipo automatically zilisha andikwa kwenye roho ukishazaliwa tu siyo hizo unazong'ania zimeandikwa kutoka.

Waebrania 8:10
Maana hili ndilo agano nitakaloagana na nyumba ya Israeli
Baada ya siku zile, asema Bwana;
Nitawapa sheria zangu katika nia zao,
Na katika mioyo yao nitaziandika;
Nami nitakuwa Mungu kwao,
Nao watakuwa watu wangu.

Waebrania 8:11
Nao hawatafundishana kila mtu na jirani yake,
Na kila mtu na ndugu yake, akisema, Mjue Bwana;
Kwa maana wote watanijua,
Tangu mdogo wao hata mkubwa wao.

In short nina amini kuwa hata usipo kanyaga kabisa kwenye mlango wa kanisa lolote ila ukifuata nia njema zilizo andikwa na Mungu kwenye roho yako hakika kristo atakuwa pamoja nawewe ndani yako

Mm naona wakristo wote wanahukumiana na sio wasabato peke yao. Ushakutana na walokole wakizungumza kuhusu wakatoliki? Hili ni tatizo la ukristo sio usabato.

Back
Top Bottom