Namna vijana ilivyo kwa Lowassa leo na ilivyokuwa kwa Kikwete 2004

KUKU-DUME

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
474
196
wana bodi nawasalim

nimekaa nimetafakari ambavyo vijana wanatumiwa na kundi la lowasa sasahiv nikagundua na ilikuwa hivyo kwa kikwete na matokeo yake vijana wamekuwa wakwanza kulalamika kuwa wanakosa ajira wana maisha magumu na wakasahau kuwa wao ndio walikuwa wanamuunga mkono kwa kuhongwa na kukimbilia vi hela vya siku moja....sasa basi na mwaka huu hao hao vijana baadhi wamesahau kilicho wapata kwa kikwete na wameanza kujitoa ufaham kwa kununuliwa utu wao na kumshabikia lowasa kisa wamenunulia

wito wangu kwa vijana :

hii nchi sahiz imefika pabaya kutokana na kukosa busara za viongoz kwa ufisadi na mmoja tunae/tunao mshabikia lowasa na tukasahau kuwa huyu ndiye alie jiuzulu kwa ile richmondi ni kuendelea kuwa hatuna akili...

pili hii nchi imekuwa na maden makubwa sana ambayo nionavyo ni kuwa rais ajae lazima awe na roho ngumu sana na lowasa hawez kwani ataingia kwanza kwa kulipa visasi kwa watu walio tofautiana kimaslahi..na kushindwa kuendesha nchi...

hivyo naomba vijana wenzangu NI VIGUMU KUTATUA TATIZO KWA KUTUMIA NJIA ZILEZILE ZILIZO KULETEA TATIZO...we need changes.
 
Kila siku nasema taifa hili litaendelea uzombi ukiisha otherwise tutaaubiri sana
 
Hii nchi inahitaji kiongozi mchafu ili asafishe uchafu.....Watanzania wengi wanaamini hii nchi ni chafu hakuna aliye msafi....mzee Lowasa ndo pendekezo ni mchafu pia anawajua vizuri wachafu wenzake kwa hiyo hataogopa kuchafuka atasafisha vizuri huo uchafu wao
 
hizi ndizo akili za kununuliwa....
 
Hii nchi inahitaji kiongozi mchafu ili asafishe uchafu.....Watanzania wengi wanaamini hii nchi ni chafu hakuna aliye msafi....mzee Lowasa ndo pendekezo ni mchafu pia anawajua vizuri wachafu wenzake kwa hiyo hataogopa kuchafuka atasafisha vizuri huo uchafu wao

Wasafi wapo.
 
Mkuu una akili timamu kichwani?
 
mkuu hapo upo sahh kabsaaaa na umemalza kusemaaaaaaaa,,hongeraaaaaaaa
 
Mkuu una akili timamu kichwani?

Akili anazo kwani huo ni mtizamo wake, kuwa na mtizamo binafsi si kigezo cha kupungukiwa Akili, hapa Tz 95% ya viongozi huwa wanamiliki mali Kinyume na Vipato vyao vya haki, kuna mianya mingi ya kufuja pesa, ten percent, ufisadi na rushwa, ndiyo maana serikali haina pesa lakini viongozi wenyewe wana pesa nyingi na wengine wamezificha nje ya Nchi, Huko kwenye mataifa mengine viongozi hamiliki Nyumba kwa pesa za mikopo lakini Tz viongozi hujengwa, hujengewa au hununua nyumba kwa cash pesa za Dili au rushwa nk, hakuna kiongozi aliye Msaafi hapa Tz kiasi cha kumnyooshea mwenzake kidole.
 
Kila siku nasema taifa hili litaendelea uzombi ukiisha otherwise tutaaubiri sana

Kuna pancha nyingi sana kwenye mkondo wa Serikali Ndiyo maana imekuwa rahisi watu kujichotea pesa za umma pasipo kugundulika mapema, anahitajika mtu jasiri kama Sokoine mwenye Uthubutu angalau ataziba pacha na kuleta nidhamu kwenye pesa za umma.
 
Sauti ya wengi ni sauti ya mungu,mpk sasa idadi ya watu waliofika nymban kw EL ni wengi sana hvyo nashawshika kusema sauti ya mungu umemtaja Lowassa kuwa rais 2015 baada ya Jk,kila la kheri Eddo watz tunakukubali wengi.
 
Back
Top Bottom