Namna Omary Machupa Amleavyo mwanawe

Mi wangu nampaga coins na nina wasiwasi pia asije akazimeza maana kuna moja aliweka njegere ndanii ya pua!!
 
Huyo ni punda tu maana kiumri Ana miaka 42,mpira gani anaucheza Sweden?wenzake tena aliokuwa anawazid umri wamezeeka,yeye ananifanya anacheza mpira,naomba hata wakina Kaniki wafungwe tu.
 
Nimempa sifa gani?
Mtoto acheze na toys, sio hela.
Mlee mtoto katika njia impasayo naye hatoiacha hata atakapokuwa mzee.

Kumpa tu muda wa kumdiscuss humu jamvini ni sifa mojawapo!
 
Hawa kina machupa ndiyo wanatakiwa wakamatiwe Hong Kong wale Shaba tu, wa...she....nzi tu hawa wanatuharibia jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…