Goodrich
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 2,091
- 1,178
Watanzania bado hatuna mazoea au desturi ya kuwajibika kutimiza wajibu wetu hasa katika suala zima la udhibiti wa ukusanyaji mapato ya serikali.
Kuna maeneo mengi serikali inapoteza mapato kutokana na wananchi kutodai risiti.
Jiulize ni lini uliwajibika kudai risiti ? Au tumemuachia Magufuli kila kitu.
Napendeza, trafic police wapewe pia kazi ya kukagua risiti za mafuta kwa waendesha vyombo vya usafiri aina zote km wanavyokagua R/L, Bima nk. Hii itatujengea utamaduni wa kudai risiti kila tunapoweka mafuta kwenye magari yetu.